Je speed sawa na ubora ni sawa na s4
Mbona kwenye top 60 ya simu nzur na bora namuona huawei kamzid tecno?
Tecno ni cheapest and low quality phones, kinacho ibeba sana Tecno ni Os ya Android
yap ni kweli kufananisha hizo cm ni sawa na kufananisha usingizi na kifoHuwezi fananisha na s4 ipo juu but tecno inajitahidi kwa kweli.
Useme huwezi kuzifananisha kwa bei lakini kwa function ziko droo. Nina uhakika na ninachokisema mwenye kupinga sponge kwa hoja kwa kuorodhesha function ambazo s4 inazo thidi ya phantom A+
Ngoja walete BBM sasa,
hapo ndo mpango mzma,
.
Hi Phantom A III
naingoja kwa hamu sana.
Hapo Decemba
.
.
General Information 2G Network GSM 900 / 1800
3G Network HSDPA 2100
4G Network No
SIM Dual mini SIM
Status Available December
2013
.
Body Dimensions 160 x 82 x 8.9mm
Keyboard Touchscreen
Colors White, Black, Yellow
Cover Plastic Display Type Capacitive touchscreen
with 16,000,000 colors
.
Size 6.0 inches, 720 x 1280
pixels, 245 pixels per inch
(PPI) Memory And OS Card slot MicroSD, up to 32GB
.
Internal 16GB
.
OS Android 4.2.2 Jelly Bean
.
Processors 1.5GHz quad-core
CPU, MediaTek MT6589 chipset
RAM 1GB Audio
.
Alert types Vibration, MP3
ringtones
Loudspeaker Yes
Audio port 3.5mm jack
.
Connectivity 2G GPRS up to 85.6 kbps; EDGE
up to 236.8 kbps
3G Up to 22.2 mbps downlink;
Up to 5.76 mbps uplink
4G No
WIFI Wi-Fi 802.11 b/g/n, WIFI hotspot, WIFI direct, dual-band
Bluetooth Version 3.0
GPS A-GPS
NFC No
USB MicroUSB v2.0 .
Camera Primary 13MP, up to
4128×3096-pixel pictures, Geo-
tagging, auto focus, face
detection camera with LED
flash
Video 1080p@60fps Secondary 8MP up to
3264×2448 pixel pictures Battery Capacity 2630mAh Li-Ion
battery
Stand-by N/a
Talk time N/a
Music play N/a Other Features Sensors Accelerometer,
Compass, Ambient light sensor
Messaging SMS, MMS, Email,
Push Mail, IM
Browser HTML5
Java No - SNS integration
- MP4/MPEG4/H.263/H.264
player
MP3/WAV/eAAC+/AC3/FLAC
player
- Document viewer - FM radio
- Image viewer
- Voice memo/dial/command
- Predictive text input
- Google Search, Whatsapp,
Google Maps, Gmail, YouTube, Calendar, Google
Talk, Facebook, Whatsapp
.
Ipo mtaani tayari since October 2013. Weweee unasubiri tena December?
so hiyo phantom nayo ina features kama motion sensor ,double tap to top,smart alert ,smart stay ,tilt to zoom,pan to move icons ,na camera ina modes kama za s4 (eg eraser mode) n.k
Ipo mtaani tayari since October 2013. Weweee unasubiri tena December?
Kuna simu nyingi pia zina run Android na zipo powa...........Poor argument! Simu nyingi zina android lkn ni ovyo. Phantom ni poa sana
tecno unayoisubiria kwa hamu imepitwa specs na s4 clone inayouzwa laki 3
Bora mtu kama unataka chinese phone basi chukua Samsung S4 Clone 1:1 kuliko Phantom A+
Tecno ni cheapest and low quality phones, kinacho ibeba sana Tecno ni Os ya Android
Mimi nimeitumia miezi miwili sasa. Iko poa sana. Tatizo moja: nikibonyeza reboot inazima moja kwa moja. Betri nachaji mara mbili kwa masaa 24. Kuna mdau mmoja kasema unasoma screen hata kwenye mwanga mkali, siyo kweli. So far so good for me, except for the reboot problem!!
Tecno ni cheapest and low quality phones, kinacho ibeba sana Tecno ni Os ya Android
Mimi nimeitumia miezi miwili sasa. Iko poa sana. Tatizo moja: nikibonyeza reboot inazima moja kwa moja. Betri nachaji mara mbili kwa masaa 24. Kuna mdau mmoja kasema unasoma screen hata kwenye mwanga mkali, siyo kweli. So far so good for me, except for the reboot problem!!