Kama kuna memory umeweka itoe ndio yenye shiida, pia baadhi ya simcard inaweza leta shida. Kwa ufupi kama kuna mabadiliko ya hardware uliofanya nayo ireste na kuacha zile devices ambazo zilikuwa zinafanya kazi vizuri. Pia kama kuna software umeinstall au umeupgrade android, angalia pia na hiyo, rudisha zile software au update zilziokuwa zinafanya kazi vizuri. Unaweza google forums zinazoendana na hilo tatizo lako ili uwasome na wenzako wenye shida kama yako na utatuzi wake ulikuwa ni upi?