Tecno phantom A3

Tecno phantom A3

hawa Wachina kila mwezi ni lazima waachie kitu kipya, wanatisha
 
tatzo la TECNO wakikwambia 5 mega pixel camera ujue ni 2 megapixel..
 
kuna aliyewahi kuishika hiyo phantom A3 au angalau kuiona dukani tu?? maana nimehangaika dar yote hamna hiyo kitu. na miezi kibao imepita tokea watangaze wametoa hilo toleo
 
Nenda pale makutano ya samora karibu NA SAPNA! kuna duka wanauza hiyo kwa 350,000. Original version.
 
kuna aliyewahi kuishika hiyo phantom A3 au angalau kuiona dukani tu?? maana nimehangaika dar yote hamna hiyo kitu. na miezi kibao imepita tokea watangaze wametoa hilo toleo

.
Soon zitapatikana kiurahisi tu mara watakapo timiza mipango yao ya kujenga industry NAIROBI
.
jamaa wana speed ya ajabu sana
from HONG KONG to AFRICA
.
Alafu kuna mtu niliona anadai TECNO hawajurikani wapo wapi...
.
In short TECNO wana main industry HONGKONG CHINA na wame target kuiteka AFRIKA baada ya kulipotezea bara la asia....
.
Kwahiyo kiongozi availability ya upatikanaji wa simu za TECNO itaongezeka mara watakapo timiza azma yao ya kujenga viwanda kenya na NIGERIA
.
Yaani simu utasikia imetoka leo afu kesho ishatua bongo
 
mimi hapa ndio ninaebisha niambie vitu hivi maana nimevitafuta nimekosa.

1. ceo wao
2. headquarter ilipo
3. hivyo viwanda vilipo
(source za uhakika)

na unaponiambia wana kiwanda kikubwa hongkong napata was was zaidi bora ungesema china mainland. hongkong ni kama unasema new york au london. kipande kimoja tu cha ardhi ni mabilion ya hela. si apple wala samsung wanaweza afford kueka kiwanda kule je mwenzangu na mimi tecno kawezaje?
 
mkuu umetiririka vizuri sana ila hapo kwenye "availability ya upatikanaji" umenipeleka chaka.samahani lakini cause najua hili si jukwaa la lugha.teh teh
 
Nunueni simu zote za Tecno lkn hizi p3,N3,D3 li umiza kichwa utajuta kabisa mm imefikia kipindi nikiinstall app nikirestart sizikuti sasa hiyo ni smartphone au ni kitorch
Namshukuru Mungu nilikuwa nimeiroot hivo naziweka important apps ktk system apps hapo ndo hazi uninstall
 
mimi hapa ndio ninaebisha niambie vitu hivi maana nimevitafuta nimekosa.

1. ceo wao
2. headquarter ilipo
3. hivyo viwanda vilipo
(source za uhakika)

na unaponiambia wana kiwanda kikubwa hongkong napata was was zaidi bora ungesema china mainland. hongkong ni kama unasema new york au london. kipande kimoja tu cha ardhi ni mabilion ya hela. si apple wala samsung wanaweza afford kueka kiwanda kule je mwenzangu na mimi tecno kawezaje?

about the non affordable cost of the peace of land in hongkong sielewi ila TECNO have orginated from hongkong kutoka 2006
.
And now they have smartphones built in ETHIOPIA africa......
About CEO i didn't know any thing except their vice president
.
Chinese mobile phone company Tecno explains why it only does business in Africa
.
The company started in 2006 in Hong Kong with our first research and development centre in Shanghai, China. For two years, our business focused on the South Asia market. After studying the markets in South East Asia, Africa and Latin America, we found out that Africa would be the most lucrative market for us. We began operations here in 2008 before eventually stopping our business in Asia to exclusively focus on Africa.
 
Kaka arif chowdhury si jina la kichina ila pia inawezekana ameajiriwa tu. Hizo data hazitoshi kabisa.

Halafu hawa jamaa sijaona product yao original product zao zote either wamecopy sehemu Au zinakuwa zile zinazofanana na wengine ndio maana nikafkiria hawa ni kama inye na kampuni nyengine za kiafrica wanaonunua simu china na kubandika majina yako juu.

Kama ni kweli hata wewe ukiwa na kamtaji kavimilioni tunaweza mwakani kuona simu za september tanzania
 
chief-mkwawa
.
kiongozi Yaaani china wana mambo mengi kiongozi.... Na wanamwalibia sana samsung
.
Yaaani kuna viwanda kama 1000 hv vya handset manufacture na vingi havina majina.. Na ndo wengi wao wamehamia Android kwa sasa ambazo ni meadiatek chipset...
Utakuta vina claim simu zao kuwa na snapdragon processor......
Ila tatizo lao ni wana fake brand kama ulivyosema hapo juu yaani mm naweza nikanunua kibao afu nikaweka brand yakwangu kumbe ni fake tu....
.
Ila nimeona kazi yao moja tu ambayo wamejitahidi hawa wachina ni hii #XIAOMI ambayo ina brand ya kwao ila vingi wame copy apple
.
Simu zao fake zinawachanganya google wanashindwa kutambua location ya simu na aina yenyewe...
.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom