Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,226
Kwanini uiponde Simu ya MTU (tecno) , wakati watu wanatumia tecno..same phone zaidi ya mwaka sasa? Huo sio ubora?
Nimekuelewa kaka.hiyo lg g2 iache iuzwe laki tano na hiyo tecno iuzwe laki saba. This is because tecno imeongeza finger print sensor hardware ambayo hiyo lg g2 haina. So kwa ubora wake hiyo tecno, lazma bei iwe juu.yap unaweza compare chakula cha mama ntilie mmoja na mwengine, mfano mmoja anauza wali maharage sh 2000 na mwengine anauza wali maharage na nyama kwa shilingi 1500 na quality ya chakula cha 1500 ni kubwa kuliko 2000. hivyo tunachofanya hapa ni kuwaambia watu kuna chakula kizuri kwa 1500 wasinunue kile cha shilingi 2000.
mfano nafanya comparison kati ya hii tecno na lg g2 ambayo nimesema huko juu inapatikana kiurahisi kwa 400,000 hadi 500,000
1. cpu
hii tecno inatumia cortex a53 wakati lg g2 inatumia snapdragon 800 ambayo inaundwa na krait 400 cores, krait inatumia same instructuion kama cortex a15 hivyo nitatumia cortex a15 kuonyesha tofauti ya nguvu na cortex a53.
ukiangalia hiyo result ya geekbench utaona kuwa all around cortex a15 ina nguvu kushinda a53 hivyo cpu ya lg g2 ina nguvu kushinda hio ya tecno.
2. gpu
hapa tena adreno 330 ipo faster mara 2 hadi mara 3 kutegemea na benchmark compare na mali 720 ya hii tecno hivyo games zitakuwa smooth kwenye lg g2 compare na hii tecno na hata skin au live walpaper au mod yoyote ya user interface itakuwa smooth zaidi kwenye lg g2.
ARM Mali-T720 MP4 - NotebookCheck.net Tech
Qualcomm Adreno 330 - NotebookCheck.net Tech
3. Display
zote ni 1080p panel na zina ips ni ngumu kufanya comparison ya vioo bila kuviona ila i bet lg g2 kitakuwa kizuri zaidi sababu sijawahi ona simu ya tecno ambayo display yake haipo washed away.
4.support
lg g2 ilitoka na android 4.2 na mpaka update ya mwisho yaani lolipop ilipata na kuna mamia ya roms unaweza kuweka mwenyewe, wakati hawa wenzetu unachonunua ndio hicho hicho hupati update hata ya kb 1.
5. camera
zote ni 13mp, wakati kwenye tecno unadanganywa na vitu kama smile detection huku camera ikiwa ni just camera bila advance feature yoyote kwenye lg g2 utakutra camera ina vitu kama optical image stabilization (ois) ambayo huondoa effect za mikono kutingishika na kupiga picha nzuri usiku, uwezo wa kuchukua video kwa 60fps, stereo sound nk.
6.battery
japo zote zina 3000mah huku lg g2 ikiwa ni ndogo kiumbo lakini lg g2 imeshaprove kuwa ni moja kati ya simu zinazokaa na charge, sijui upande wa hii tecno utakuwa ni vipi
7.memory
zote zina internal memory hadi 32gb na tecno ina ram 3gb wakati lg g2 ina ram 2gb ila ram ya lg g2 inajulikana ni ddr3 wakati simu za kichina hutaona popote wakiandika aina ya ram iliotumika hivyo unakuta unapewa ram kubwa kumbe imetumika technology ya zamani kama ddr2 hivi. pia storage zao nyingi hutumiwa slow flash storage.
sasa kaka niambie wewe nitoe 800,000 ninunue simu mbaya ya phantom 5 au nitoe 400,000 hadi 500,000 ninunue lg g2 nzuri?
Nimekuelewa kaka.hiyo lg g2 iache iuzwe laki tano na hiyo tecno iuzwe laki saba. This is because tecno imeongeza finger print sensor hardware ambayo hiyo lg g2 haina. So kwa ubora wake hiyo tecno, lazma bei iwe juu.

Unachosema ni kweli kakaa, watu wanaiponda Phantom 5 wakati hawajawahi kuitumia. Bora wewe umeitumiana umekuja sema kwamba ipo vizuri. Napenda watu kama wewe ambao wametumia kitu na kuleta feedback, not those who only base on readings.Asee hii tecno msiiponde, nimefanikiwa kuiweka mikononi mwangu kwa muda mfupi nimeikubali asee.. shikamoo Phantom 5
Namna hiyo...you should learn to appreciate.ok manunuzi mema, hela itabaki kuwa yako na yako mwenyewe ujumbe nimefikisha sina mamlaka mengine
LG G2 inapatikana duka gani? Nimecheki mjini nimekosa, huwa napendelea duka kuliko kununua kwa mtu.
yap unaweza compare chakula cha mama ntilie mmoja na mwengine, mfano mmoja anauza wali maharage sh 2000 na mwengine anauza wali maharage na nyama kwa shilingi 1500 na quality ya chakula cha 1500 ni kubwa kuliko 2000. hivyo tunachofanya hapa ni kuwaambia watu kuna chakula kizuri kwa 1500 wasinunue kile cha shilingi 2000.
mfano nafanya comparison kati ya hii tecno na lg g2 ambayo nimesema huko juu inapatikana kiurahisi kwa 400,000 hadi 500,000
1. cpu
hii tecno inatumia cortex a53 wakati lg g2 inatumia snapdragon 800 ambayo inaundwa na krait 400 cores, krait inatumia same instructuion kama cortex a15 hivyo nitatumia cortex a15 kuonyesha tofauti ya nguvu na cortex a53.
ukiangalia hiyo result ya geekbench utaona kuwa all around cortex a15 ina nguvu kushinda a53 hivyo cpu ya lg g2 ina nguvu kushinda hio ya tecno.
2. gpu
hapa tena adreno 330 ipo faster mara 2 hadi mara 3 kutegemea na benchmark compare na mali 720 ya hii tecno hivyo games zitakuwa smooth kwenye lg g2 compare na hii tecno na hata skin au live walpaper au mod yoyote ya user interface itakuwa smooth zaidi kwenye lg g2.
ARM Mali-T720 MP4 - NotebookCheck.net Tech
Qualcomm Adreno 330 - NotebookCheck.net Tech
3. Display
zote ni 1080p panel na zina ips ni ngumu kufanya comparison ya vioo bila kuviona ila i bet lg g2 kitakuwa kizuri zaidi sababu sijawahi ona simu ya tecno ambayo display yake haipo washed away.
4.support
lg g2 ilitoka na android 4.2 na mpaka update ya mwisho yaani lolipop ilipata na kuna mamia ya roms unaweza kuweka mwenyewe, wakati hawa wenzetu unachonunua ndio hicho hicho hupati update hata ya kb 1.
5. camera
zote ni 13mp, wakati kwenye tecno unadanganywa na vitu kama smile detection huku camera ikiwa ni just camera bila advance feature yoyote kwenye lg g2 utakutra camera ina vitu kama optical image stabilization (ois) ambayo huondoa effect za mikono kutingishika na kupiga picha nzuri usiku, uwezo wa kuchukua video kwa 60fps, stereo sound nk.
6.battery
japo zote zina 3000mah huku lg g2 ikiwa ni ndogo kiumbo lakini lg g2 imeshaprove kuwa ni moja kati ya simu zinazokaa na charge, sijui upande wa hii tecno utakuwa ni vipi
7.memory
zote zina internal memory hadi 32gb na tecno ina ram 3gb wakati lg g2 ina ram 2gb ila ram ya lg g2 inajulikana ni ddr3 wakati simu za kichina hutaona popote wakiandika aina ya ram iliotumika hivyo unakuta unapewa ram kubwa kumbe imetumika technology ya zamani kama ddr2 hivi. pia storage zao nyingi hutumiwa slow flash storage.
sasa kaka niambie wewe nitoe 800,000 ninunue simu mbaya ya phantom 5 au nitoe 400,000 hadi 500,000 ninunue lg g2 nzuri?
Hata mimi kuna vitu viwili nikishaviona basi hiyo simu hata unipe bure naiweka stoo.
1. Made in China. Hapa hata iwe original
2. Mediatek
Mmmhh marekan wenyewe wanatumia products za china ndo sembuse wewe....
Specifications :
Netwok: 2G/3G/4G LTE
Display : 5.5" Full high definition
Protection: Corning gorilla glass 3
Dual sim
Sensor : Proximity,Gyro, Finger print scanner
Gps
Internal Memory : 32GB
Ram: 3GB
Battery :3000 mah
Hii ni bonge la simu
ndugu mkwawa nafanyaje kuweza kupata moto e kwa hapa bongoSpecifications :
Netwok: 2G/3G/4G LTE
Display : 5.5" Full high definition
Protection: Corning gorilla glass 3
Dual sim
Sensor : Proximity,Gyro, Finger print scanner
Gps
Internal Memory : 32GB
Ram: 3GB
Battery :3000 mah
Hii ni bonge la simu
Bidhaa ya kichina inayoingia Afrika siyo sawa na bidhaa ya china inayo ingia Marekani!Mmmhh marekan wenyewe wanatumia products za china ndo sembuse wewe....
Inatengemea na Uwezo wa nini kama wa hela ndiyo Ila siyo wa kiakili!!Hujui kama kuna wamarekani ninaowazidi uwezo?