Wana jf,ninataka kununua simu ambayo inasuport whatsap na instagram,sasa kuna jamaa kaniambia ninunue sim kati ya hizo mbili,je ni kweli zinasuppurt huduma hizo?
Zote ni nzuri ila H6 ni nzuri zaidi kwakuwa ina operating system mpya ambayo ni Kitkat na la Muhimu zaidi ina kasi sana na uwezo zaidi ya P5 na kuna jambo hapa P5 za sasa sijazipenda bora za Mwanzo. Mengine google uone tofauti kati ya P5 na H6, natumia P5 za mwanzo kabisa ila H6 nilimchukulia mzee wangu iko poa sana
Wana jf,ninataka kununua simu ambayo inasuport whatsap na instagram,sasa kuna jamaa kaniambia ninunue sim kati ya hizo mbili,je ni kweli zinasuppurt huduma hizo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.