Habari wakuu, naombeni msaada wa setting za kuangalia video Youtube kwenye simu ya Tecno p3. Nilifungua inachukua muda mrefu kufunguka, na ikifunguka unaangalia kidogo tu inaanza kuload tena. Msaada tafadhali.

Mkuu kuna siku mbili tatu zilizopita net ilikuwa inasumbua mitandao ya voda na airtel maeneo ya kinondoni ila kwa sasa iko poa, hata alama ya H na vimshale vyeupe huipati ukifungua mtandao?