Tecno Mobile, mkombozi wa Waafrika.

kuna ukweli hapo
 
Iphone SE
2GB RAM
Laki 3.5
Habari ndugu hiyo iphone se nimecheki ni simu kali sana kwa bei hiyo ni 16gb au32gb au 64gb na ninaweza kuzipata wapi kwa dar asante
 
250,000/=✓hicho ndiyo kiwango changu cha mwisho cha kununua simu.
Kipaumbele changu ni pesa(biashara)siyo simu.
 
Masharti ya mganga hayawezi kukuacha salama
 
Ni kweli mkombozi mtoa Mada!
Lakini Mambo yote ni IOS New version 12
 
Habari ndugu hiyo iphone se nimecheki ni simu kali sana kwa bei hiyo ni 16gb au32gb au 64gb na ninaweza kuzipata wapi kwa dar asante
Sifahamu kwa Dar, hiyo ni 32GB kwa US brand new kitu na box.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…