Tecno mobile Mega Thread

ubaya wa tecno hazina update kaka.kila update lazima ununue toleo jingine la tecno nabei zake hizo dah
 
Achana na mimi wew tusitafutiane ban.uwe na tabia ya kufocus kwenye hoja za msingi.


Hoja za msingi zipi ?
Nikuache uandike !

Phantom = Photom
simu = cm
galaxy = glaxy

Afu uniambie Typing error ?
Mbona haileti sense kabisa !

Afu nakwambia unaniambia mi nna nyege ?

Hizo lugha tunaziweza ! Sema kwa heshma za wengine tunajifanya wema !

Ingekua ni kijapani au kichina ningesema siwezi !

Ila kiswahili ! btw jukwaa hili naliheshmu kuliko majukwaa yote !
 
Weka clean master, uwe wadelete junk files, pia weka antivirus. Nina Tecno P5 na iko poa sana
 
Weka clean master, uwe wadelete junk files, pia weka antivirus. Nina Tecno P5 na iko poa sana

Fanya Kama alivyokuelekeza jamaa hapa ndiyo mwisho wa maelezo futa kwanza program na msg kupata nafasi ya ku download clean master na antivirus unaweza poteza data za kwenye storage device baada ya scan ila usijali fanya simu iendelee kukupa huduma
 
hlf sa iv sd storage ni 110mb lkn huyu mse**e bdo inanambia usen*e wake"memory full"
 
hlf sa iv sd storage ni 110mb lkn huyu mse**e bdo inanambia usen*e wake"memory full"

cha kukushauri sahz n kuireset cm. na kuiformat memory card, cha kwanza, format memory card, then back up contacts kwa sd card then reset phone. c wajua? ku back up na ku reset?
 
i love my tecnoP5. msg chatting ya mtu zipo hadi zaidi ya elfu no problm. kwa upande wa internet ndo kabisa inanifurahisha. kuhusu storage nimejaza mavideo,music na picha za kutosha. in general naipenda sana hii simu. ya kwako labda ni feki. au umedownload mafile yenye virus from unreliable source. pole sana.
 
Sd card yako ina ukubwa gani? jitahidi upate yenye ukubwa mzuri
Fanya backup kwenye sd card yako au hamisha picha, contacts na miziki kwenye sd card yako kisha format simu

Baada ya hapo usiweke clearmaster wa antvirus yoyote zaidi apps muhimu tu, usijaze apps mfano fb na fb chat massage, browser tumia default browser au uc mini,
Install apps zako kwenye sd na ulink default apps zistore data kwenye sd card, link2sd itakusaidia kufanya hivyo

Buy tecno at your own risk
 
Mkiambiwa tecno ni majanga mnabisha, Ona sasa zinavyowahenyesha.

Battery low hlf sa iv sd storage ni 110mb lkn huyu mse**e bdo inanambia usen*e wake"memory full"

yaani kama tecno itakusumbua kuhusu memory, basi usinunue smart phone nyingine kwa sababu hizo zingine ndio majanga kabisa, tena hata huwezi ku-Install apps kwenye SD card bila Rooting.!!
 
:focus:
Nasikia pia itakuja na 5.5 au 6", battery 4000mAh, android kitkat, octacore processor (kwahiyo ndio simu ya kwanza kurun octacore), NFC (Ila nasikia chip za MediaTek hazisupport hii kitu sijui kweli?), OTA OTG smart view 13mp camera led notifications, inakuja na preinstalled BBM whatsapp skype viber kik hangout and palmchat na pia it also comes with an external keybord and the price goes for 326 dollars.

Sasa sijui ndio flagship au wametoa tu?

Nina swali pia: Hivi Tecno wana plant Naigeria? Mbona watu wa Nigeria inaelekea ni diehard fans sana wa Tecno? Nilisikia HQ za Tecno Mobile Co ipo China, sasa je Nigeria kuna kiwanda au? Yaani kama Nokia alivyonacho India?
 

hawana kiwanda bali hizi ni zile simu ambazo unanunua unaeka tu jina lako, wanasema wana hq na kiwanda hongkong wakati ni kati ya jiji ghali duniani even apple na samsung hawawezi kueka kiwanda hongkong kama kariakoo tz kiwanja ni mabilion ya hela imagine hongkong ipo kama kkoo huruhusiwi kujenga gorofa chini ya 30 plot itakua sh ngap? wanasema ni wachina management nzima ni ya wahindi.

na kukuhakikishia jamaa hawatengenezi simu chagua simu yako yoyote ya tecno uipendayo ntakuletea wenzake kibao wanafanana kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…