Tecno mobile Mega Thread

Si lazima rooting,kila kitu unamaliza kwenye power control.

atajaribu kila njia lakini mwisho wake ROOTING ndio suluhisho, huwezi kubadili profile kila wakati ili uweze kuzima simu. na je kama ni kuwasha utawashaje ikiwa ilizima katika normal profile? vipi kuhusu camera sounds,battery low sounds etc
 
Ma ant tecno wengi ni wapondaji tu na hawajawahi kuzitumia hizi cm mimi nina tecno phantom n9 tablet na samsung glaxy s4 smart phone lakini hii photom haija ni let down toka mwaka jana mwezi 7 hadi sasa ila samsung tulishindana kwenye kuheat na charge haikai kulinganisha nahii phantom n9 so nina uhakika sana na maelezo yangu kuhusu tecno hasa n9 sijui kwa hizo tecno aina zingine.
 
Mkuu cjakuelewa nifanye nn

Nilikua nakwambia kupata msg ambazo huzioni hapo kwenye inbox ya kawaida utazipata ukifuata hizi hatua
i.fungua msg
ii.settings
iii.text message
iv.manage SIM card messages
utafungua moja ya line i.e. tiGO utaziona msg zilizo hifadhiwa kwenye line.ukimaliza kwenye line ya kwanza unarudi line nyingine kuona msg zako
 

wee unaangalia tu battery kweli watu wanaangalia chipset ndo kitu ya kwanza...
Hivo ujue hapa unapoongea sio watu anti-tecno bali watu anti Mediatek
 
nimeziona chache mkuu,thanks for sharing
 
wee unaangalia tu battery kweli watu wanaangalia chipset ndo kitu ya kwanza...
Hivo ujue hapa unapoongea sio watu anti-tecno bali watu anti Mediatek

Mkuu mavoko lakini bado sijapata athari za hiyo mediatek na sijajua madhaifu yake hasa maana hata hii phantompad n9 ninayo itumia ni mediatek kama sijakosea lakini sijaona madhaifu yeyote na ninaitumia kweli maana 24/7 on line lakini sijaona mapungufu yake sababu inaparfom vile nataka,labda unisaidie madhaifu ya hizo mediatek ni yepi kiasi kwamba baadhinya watu wanaichukia to that extant au ndio kubebwa na maoni ya mtu mmoja anaye taka kuaminisha mtazamo wake watu wengi?
 
wee unaangalia tu battery kweli watu wanaangalia chipset ndo kitu ya kwanza...
Hivo ujue hapa unapoongea sio watu anti-tecno bali watu anti Mediatek

tunaomba uwafafanulie ubaya wa mediatek kwa kuangalia price against perfomance please....
chipset gani ni bora , ni vyema kama utazilist in descending order. asante in advance kwa mchango
 
mimi sishauri mtu anunue simu za mediatek atleast for now. so sina cha kuongea kaka

tunaomba uwafafanulie ubaya wa mediatek kwa kuangalia price against perfomance please....
chipset gani ni bora , ni vyema kama utazilist in descending order. asante in advance kwa mchango

Nafikiri hapo chief-mkwawa atanisaidia obvious hii ni cheap chipset ndo maana clone/tecno etc wanazitumia
 
Last edited by a moderator:
Hbr zenu wandugu,simu yangu ina 2 sophisticated problems:-
1.STORAGE
internal storage 1gb,ex stor8gb hlf nina vitu havifiki hata 1gb in total lkn inasema memory full.Nikiangalia kwny jedwali la sd .....................................

nenda kwenye settings--> storage then weka default storage iwe SD CARD.

then, nenda kwenye apps, halafu move application moja baada ya nyingine kwenda kwenye SD card. Fanya hivyo kwa apps zote ulizo download zihamie kwenye SD CARD.

pia angalia antivirus uliyoweka , anti virus zingine zinaongeza JAM kinoma
 
tunaomba uwafafanulie ubaya wa mediatek kwa kuangalia price against perfomance please....
chipset gani ni bora , ni vyema kama utazilist in descending order. asante in advance kwa mchango

kaka lengo la mediatek ni kutengeneza chip za bei rahisi ili watu wa hali ya chini nao waweze kunufaika ila inapofikia sasa simu za mediatek zinauzwa laki 4 au 5 au 6 na kuendelea inabidi tujiulize lengo limefikiwa? processor za mediatek ukiachana na weakness zake kama kutoweza ku update simu pia ni dhaifu sababu nyingi ni cortex a7 ambayo ina speed ndogo. pia kwenye gpu kwa ajili ya gaming na apps kubwa apps nyingi zimekua optimized kurun kwenye adreno hivyo compability yake na power vr ya meadiatek si nzuri.

usidanganyike na core ukaona simu ina core 8 au core 6 apps nyingi karibia asilimia 80 zimekuwa optimized kufanya kazi kwa core 1 au mbili, kwa lugha nyengine ukiwa na simu ya core nane ukirun app core 1 au mbili zitatumika na core 6 au 7 zitatulia hazifanyi kazi. core nyingi zinaleta sense zikiwa optimized kama alivyofanya samsung au chip mpya za huawei ziitwazo kirin, wao wameeka core nane lakini nne zina cortex a15 na nne zina cortex a7. hekima ya kufanya hivyo ukirun game au apps kubwa cortex a15 inahandle game kubwa then perfomance inakuwa kubwa lakini simu ikiwa inafanya task ndogo cortex a7 inahandle perfomance inakuwa ndogo na kusave battery. hivyo unapata perfomance kubwa na battery inayokaa sana.

so far chip nzuri za simu ni snapdragon 800/801 ambazo ndio best zinatumika simu zote kubwa kama htc m8, xperia z2, galaxy s5, lg g3 simu zinakuwa very smooth kabisa. hivyo hii chip ndio inakuwa recomended na pia ukitaka kujua hawa jamaa wapo level nyengine japo perfomance ni kubwa lakini battery pia inakaa sana simu kama lumia 1520, xperia t2, lg gflex ndo habari ya mjini ikija suala la kukaa na chaji japo kuna simu za mediatek zina 4000mah zinapitwa na qualcom yenye 3000mah.

nazilist hapa kwa perfomance hizi snapdragon
801
800
600
400
200

je tunapondea wachina?
kuna watu wao wanafkiri mtu akiongea hivi tunakandia wachina tu nitakupa case kidogo uelewe

1.case ya kwanza ni xiaomi
hawa jamaa ni wachina pale pale simu yao ya bei ghali ya mediatek ni dola around 130 inaitwa hongmi simu zao zote za kuanzia dola 200 hawatumii mediatek wanatumia either exynos au snapdragon so angalia jinsi wao wenyewe wachina wanavyojua

2.case ya pili ni oppo na oneplus one
hawa pia ni wachina na wametoa simu ya bei rahisi sana around dola 300 ila wametumia snapdragon 800/801

hapo juu just nimekuonesha even wachina wanaosifika kwa simu kali hawatumii mediatek.

watu wanacompare simu za mediatek na samsung na hili ni kosa kubwa sababu touchwiz ya samsung ni nzito sanaaa na haimaanishi ile ndio android, simu nyingi za mediatek zinatumia clone ya touchwiz so mtu akiwa na tecno akicheki na samsung ina touchwiz anaona ile ni android na kuona simu yake ipo fast. kwa comparison nzuri tafuta simu ya htc yenye sense au nexus yenye stock android au samsung yenye stock android then utaona kuwa snapdragon ni next level.

kuhusu price sasa hivi unaweza pata simu ya snapdragon 400 kuanzia dola 150 hivyo kwenye bei za kuanzia 250,000 unapata simu decent ya snapdragon mfano angalia zte redbull, moto g, lumia 630,

kwa hio snapdragon 800/801 ambayo ndio latest simu ya bei rahisi ni oneplus one ambayo ni around dola 300.
 


Tulia tu Mkuu usiwe na Papara !
 
Mnisaidie
Nitawezaje kupata android 4.4 (KitKat) kwenye simu aina ya Tecno S5 yenye android 4.2.2 (Jelly Bean)
 
mkuu sd card imejaa-0.0b left
 
Tulia tu Mkuu usiwe na Papara !
Mkuu nyege nini? Kama hayakuhusu pita tu si lazima utie upopompo wako walio elewa wameelewa wewe unaye jifanya mjuaji endelea kuhangaika na hizo typing errors wakati wenzio wadili na mambo makubwa
 
Mkuu nyege nini? Kama hayakuhusu pita tu si lazima utie upopompo wako walio elewa wameelewa wewe unaye jifanya mjuaji endelea kuhangaika na hizo typing errors wakati wenzio wadili na mambo makubwa


Mkuu Mama yako alikufundisha matumizi ya lugha nzuri !
Hiyo tabia sijui unaitoa wapi !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…