Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,478
R7 yenyewe nimeishuhudia live ni 6 core, yaani noma sana. hiyo phantom Zbado sijaiona
wakuu nikiwa naangalia kombe la dunia. Kipindi cha na mapumziko nimeona tangazo la toleo jipya la tecno ambayo ni tecno phantom Z.
na kwa haraka baada ya kuigoogle nimepata taarifa hizi...
octa core
processor and 16mp
camera..
mwenye taarifa zaidi atufamishe ubora na ulegevu wa hii simu.
Ahsanta.
cc snipa chief-mkwawa C6 na wengineo wenye ufahamu.
chifu mi ngoja tunipite , naangalia mpira ntarudinimeishuhudia live ni 6core? umeifungua? sababu sku ile tuliona walicheat specs
mimi sishauri mtu anunue simu za mediatek atleast for now. so sina cha kuongea kaka
P5 ndio yenyewe kwa kiasi ulichonacho, na wala hutojutia pesa yako.
ukitaka kununua simu yenye jina kubwa ukanunua samsung au HTC utanunua simu ya ajabu mtu wangu. utajikuta umenunua jina badala ya simu.
Ni ushauri tuu,, mimi ninatumia Tecno L3 nimeifurahia, na kuna watu wanatumia galaxy ace wanaitamani sana tecno yangu, kuhusu memory, camera mbili, 3G na 2G, double line, na battery iko juu sana
nimeishuhudia live ni 6core? umeifungua? sababu sku ile tuliona walicheat specs
Nenda kwenye maduka ya tecno zipo hadi za elfu 20
wakuu nikiwa naangalia kombe la dunia. Kipindi cha na mapumziko nimeona tangazo la toleo jipya la tecno ambayo ni tecno phantom Z.
na kwa haraka baada ya kuigoogle nimepata taarifa hizi...
octa core
processor and 16mp
camera..
mwenye taarifa zaidi atufamishe ubora na ulegevu wa hii simu.
Ahsanta.
cc snipa chief-mkwawa C6 na wengineo wenye ufahamu.
hapo mpaka ufanye rooting
ngoja nichekiKama msg kuna sehemu zina kaa kama kwenye line zimejaa. fungua msg-setting-then option ya pili utazikuta msg kibao hapo.
Angalia usije kushikwa na demu wako kama anajua kutumia tecno
Mkuu cjakuelewa nifanye nnKama msg kuna sehemu zina kaa kama kwenye line zimejaa. fungua msg-setting-then option ya pili utazikuta msg kibao hapo.
Angalia usije kushikwa na demu wako kama anajua kutumia tecno
poa mkuu nimekumanya mazeepakua sd maid ina delete mafiles ambayo hayahitajiki
Now 310mb available in sd card,sasa kidogo nishaanza kupata moyo naona camera inakubali sa iv ila lkn hata hivyo tatzo bdopakua sd maid ina delete mafiles ambayo hayahitajiki
Hii ni rahisi, unapotaka kuzima simu yako kwa kutumia button yako ya siku.kuna msg inatokea yenye heading POWER CONTROL, kuna option kama nne hapo.
power OFF, mute, vibration na loud.
we bofya mute.itazima kwa mute na kuwaka mute, baadae utairudisha kwenye normal.
goodevening!!!!