Tecno mobile Mega Thread

LG G3 kwa sasa ndiye mwenyekiti wa Android akisaidiwa na Sony Xperia Z2. Halafu kidogo Samsung S5 na mwisho HTC M8 mengine yote maigizo tu

inategemea na kitu mtu anachotaka. Nafkiri lg g3 na htc m8 wanakimbizana nafas za mwisho kwa camera mbaya. Camera ya lg g2 ilikuwa average wamefanya mistake kuieka ile ile kama htc alivyofanya mistake kurudi 4mp camera.

samsung hana sifa ya kutengeneza camera nzur za simu ila kwenye s5 amejitahd. Na xperia z2 pia wapo vzur kias fulan
 

samahani chief so ukibadili IMEI utaweza kuupdate os version? au kuna faida gani ya kubadili hiyo IMEI
 
kwa kutumia hii frameworknmeweza kuroot Tecno Q1 , Tecno N7, Tecno D5, Tecno P5 ,Tecno S3, Tecno S5, Tecno M7 na Tecno M3 jinsi ya kufanikisha zoezi hili fuata hizi procedure

1. download frame root hapa http://sharemobile.ro/file/768977
2. install hio applicationna kisha ifungue "open"
3. Click kwenye Install Supersu
4. click Boromir
5. tayari kwisha kazi
 

Kwangu haijafanya kazi yeyote hii kitu.natumia m3
 
Nimeidownload lkn haifunguki, no app to open it
 
wadau naomben munifahamishe jinc ya kufanya hii kitu maana nataka nifanye hv vitu ktk cm yng kama inawezekana:-
kurun multiple whatsapp a/c
kutumia apps zinazohitaji root access
kuremov pre installed apps
ku-block google ads
kubadil boot animation&boot sound
kuondoa mlio wa kamera
ku-update to android 4.4 kitkat
kufanya apps zisiweze kufutika(ni haya tu ninayoyajua mm kwa sasa so kama kuna mingne naomb mnijuze wakuu)
--wakuu kama nlivyotangulia kuwambia kuwa mm cjui kitu kuhusu kufanya hii kitu so naomben msinielekeze juujuu tafadhali
 



unaweza ku-Root kwa kutumia program inayoitwa Kingo link yake hii hapa....http://www.kingoapp.com/download/android_root.exe


ila usifanye yafuatayo, unaweza kuharibu simu yako kabisa kama utakosea...
**kubadil boot animation (Labda uitoe kabisa lakini sio kuibadili)
**ku-update to android 4.4 kitkat (
hii haiwezekani kwa P5, utaharibu simu mazima)
 
doh poa mkuu nimekusoma
 
waungwana nataka ninunue smartphone ya TECNO ila cjui ipi nzuri nina sh200000
 
Laki mbili unaweza kutafuta aina nyingine ya cm hata Huawei au Samsung agalaxy Acsend......techno hata ungenunua ya laki nne haina ubora wa pivha na ukiwa nje ya eneo lenye 3G net ni tatizo sanaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ