Tecno mobile Mega Thread

Jidanganye we sema mfuko mwembamba sio swagz za ivyo galaxy bad number

kwa upande wangu hata hiyo Galaxy S5 nina uwezo wa kununua, ila nachohitaji ni kile nachokipenda, sio kile alichonunua fulani!

*****kama IT professional
*******
 
hujui kwamba kitkat wame limit simu za kuwa nayo?
labda itafute stock rom
 

Shukrani kwa Mrejesho Mkuu, WaTz wanakamuliwa kizembe sana.....

kariakoo wamehama nadhani ni kukwepa kero za wateja wanairudisha cm kwa matengenezo.

Nilinunua Tecno P7 ndani ya mwezi mmoja ikaanza kustack, niliipeleka castama kea,iliwachukua mwezi kuitengeneza na mbaya zaidi nilipoichukua nikitaka kukonekti data ina niambia invalid Imei.
 

ishu ya imei si tatizo la tecno ni tatizo la mediatek, mediatek wanatengeneza chip za bei rahisi ili simu ziuzwe bei rahisi lakini chip zao huwezi ku update os version na kila mara imei zina corupt. ipo solution ya kufix imei sema pia sio halali kisheria sababu hutakiwi kuibadilisha.

next time nunua simu yenye snapdragon au processor yoyote ya qualcom ndio best. siku hizi kuna simu zina power kama s5 au zaidi kwa dola 250 tu (shilingi laki 4) mfano wake ni hii simu mpya ya oneplus one.
 

chief nisaidie jinsi ya kutatu hili tatizo la imei
 
4G hakuna
Kit kat hakuna(2014 bado unakomaa na JB)
Os upgrade hakunaga(utakufa na JB)
chip uongo mtupu
Front camera changa la macho
 

Habari , nauliza hii sim ya oneplus ipo Tz na waniuzaje?
 
LG G3 kwa sasa ndiye mwenyekiti wa Android akisaidiwa na Sony Xperia Z2. Halafu kidogo Samsung S5 na mwisho HTC M8 mengine yote maigizo tu
 
hawa jamaa wataendelea kuuza sana tz watauza sababu ya 1. ujinga wetu 2. kipato chetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ