Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,378
sijui unamaana gani kusema tecno ni simu zenye hadhi ya juu.dadavua hapo shiny c
Tecno smartphones zimekuwa ni simu zenye hadhi ya juu kwenye soko kutokana na kupendwa sana na watumiaji kiasi cha kununuliwa kwa wingi mno
sasa hiyo si hadhi ya juu mkuu wanapenda vya bei nafuu ndio maana wengi wameshobokea hiyo isiwe sababu ya kuzifanya tecno kuwa na hadhi ya juu
ndilo swali langu ila jamaa kashindwa kunijibu
umeshawahi tumia tecno au unaleta ubishi t
ndilo swali langu ila jamaa kashindwa kunijibu
Sijabisha kuuzwa kwa wingi sababu sina data za mauzo ya simu Tanzania, Ninachobisha ni neno hadhi ya juu kisa zinauzwa Sana.
Hivi kama watanzania wengi tunavaa mitumba kwa wingi kuliko special utasema mitumba inahadhi ya juu.?