akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,767
- 1,155
Unanishawish Nikanunue P5, Weekend Ijayo
Natumia iphone 5, lakini kiukweli naikubali techno, mshkaji wangu anatumia hiyo P5, nnachopenda zaidi ni kwenye internet connectivity, ina kasi mno hadi naonaga wivu.
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Are you serious au ni ushamba wa iPhone......!!?
Hivi we mwenyewe haujishangai......????Unawezaje kulinganisha tecno na samsung....!!!!Atakaye/anaye pinga mjadala wa mtoa mada hapo juu simshangai,kwani atakuwa na sababu zifuatazo:-
1.atakuwa na wivu/roho mbaya(hataki wengine wawe na simu yenye uwezo kama yake kwa bei rahisi kwa sababu yeye kanunu bei kubwa)
2.Ushamba(kutaka kumiliki simu yenye vitu ambavyo kikawaida hana matumizi navyo)
3.Ubishi (anatambua kuwa alikurupuka kununua simu ya bei ghali, ila hataki kuuzia wajinga wenzie ili anunue tecno na hela nyingine anunulie vocha za mwaka mzima ila mbishi)
Nb:bila hii tecno m3 nisingeweza kupost huu ukweli.
Sio TECNO tu, sitakaa kununua simu yeyote ya Android.
Windows Phone zikifa nahamia Iphone
Sijui ni ushujaa ama vp
yeah am serious nenda kwenye website yao unaingiza imei na sn ya cm na betri then utajua ni feki au o.g
i mean power bank iko poa sanaaa
wote wanao hitaji wani PM mzigo ni mpyaaa na originals with waranty pici zimo nyingi za kutosha