Jamani mimi niko mbali na dar kuna rafiki yangu mimemuagiza aninunulie tecno m5 anadai amezunguka amekuta ni 300000 kweli ndio bei yake.

Picha pls

Mkuu bei ya dar na arusha 150,000. na P5 170,000.
Kaka waweza kuwa nazo?? Naomba tuwasiliane
halafu ni line ngapi mbili au moja?
ha! hii simu inatofauti gani na M3?