habar wana jf
naitaji simu aina ya tecno m3 iwe ktk hali nzuri
ofa yangu elfu 60,000/=cash
kama unayo unaweza nichek kwa no. 0787 152 296 au ni PM
tufanye biashara faster
napatikana dar.
mkuu ongeza mkwanja nikupe tecno h5
Nikupe 70?
mkuu mi nakupa 80 faster