C Chele2 Senior Member Joined Apr 5, 2013 Posts 102 Reaction score 5 Oct 22, 2013 #1 samahan wadau,kwa mlio dar ,et simu tajwa hapo juu kwa dar sasa zinauzwaje? nahitaji kunua mojawapo ila huku mikoan ni amabei ipo juu sana! natanguliza shukran
samahan wadau,kwa mlio dar ,et simu tajwa hapo juu kwa dar sasa zinauzwaje? nahitaji kunua mojawapo ila huku mikoan ni amabei ipo juu sana! natanguliza shukran
Majigo JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 5,519 Reaction score 1,832 Oct 22, 2013 #2 kwa dar haizizid laki na 70 ila iyo M3 ni kifaa ktk masuala ya kubrowse iyo L3 imetsha kwa uwezo wa betri!
kwa dar haizizid laki na 70 ila iyo M3 ni kifaa ktk masuala ya kubrowse iyo L3 imetsha kwa uwezo wa betri!
C Chele2 Senior Member Joined Apr 5, 2013 Posts 102 Reaction score 5 Oct 22, 2013 Thread starter #3 Majigo said: kwa dar haizizid laki na 70 ila iyo M3 ni kifaa ktk masuala ya kubrowse iyo L3 imetsha kwa uwezo wa betri! Click to expand... kwa dar inamaana zote zina bei moja? ahsate kwa maelezo yako!
Majigo said: kwa dar haizizid laki na 70 ila iyo M3 ni kifaa ktk masuala ya kubrowse iyo L3 imetsha kwa uwezo wa betri! Click to expand... kwa dar inamaana zote zina bei moja? ahsate kwa maelezo yako!