TECNO L3 and TECNO M3 SELLING

TECNO L3 and TECNO M3 SELLING

Chele2

Senior Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
102
Reaction score
5
samahan wadau,kwa mlio dar ,et simu tajwa hapo juu kwa dar sasa zinauzwaje? nahitaji kunua mojawapo ila huku mikoan ni amabei ipo juu sana! natanguliza shukran
 
kwa dar haizizid laki na 70
ila iyo M3 ni kifaa ktk masuala ya kubrowse
iyo L3 imetsha kwa uwezo wa betri!
 
kwa dar haizizid laki na 70
ila iyo M3 ni kifaa ktk masuala ya kubrowse
iyo L3 imetsha kwa uwezo wa betri!

kwa dar inamaana zote zina bei moja? ahsate kwa maelezo yako!
 
Back
Top Bottom