kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,628
- 1,786
Simu Za tecno Ndizo zinazoongoza kwa matatizo matatizo ya upande wa software and hardware mara haiwaki mara not responding mara betri idiscending wakat wa kuichaj badala ya ascending mara ichelewe ama kutofika kabisa kwa SMS mara Unapiga Sim eti inatumika wakati ipo hewani. Nawahama tecno.