Tecno kama mmechoka kutengeneza simu imara mkalime matikiti

Hata we pia umetumia maneno Makali sana, ni kweli tecno zinaweza kuwa na matatizo, lakini kuna wengine wanatumia hizo hizo tecno lakini hazijawaletea shida. Jambo jema nikuelimishana tu kwa hekima na ustaarabu. mfano hata mimi natumia tecno phantom z mini, haijawajihi nisumbua.
Ww hafadhari.
 
Hahahahaha wachangiaji wengine mnavoponda tecno had mnanifurahisha utafikiri kwa mafundi simu simu za samsung huawei etc hazipo akat kila siku tunakutana kwa mafundi mi yangu tecni cx naseleleka nayo chaj 48hrs tecno its my choise
Sasa cx umenunua juzi utasemaje unaserereka???? Au ndo bado unatest??
 
Stakuja kusahau pati flan mkoa wa dar ambapo kiingilio ilikuwa sm og isiyo ya kichna asee tecno.huawei.itel walikosa sfa za kuzama inn mtu ana BlackBerry ya batan anapita ila mwenye li tecno kubwa km msaafu anabak kwa mlangoo.mm wachna never
 
Tecno ni moja kati ya simu mbovu kuwahi kushuhudia katika ulimwengu wa smartphone.... Tecno nilikwepo nayo p5 ilinifia katika mazingira ya kutatanisha sana. hadi leo siamini kilicho nitokea...

Samsung ndiyo mambo yote kwangu iphone s5
 
Back
Top Bottom