Tecno kama mmechoka kutengeneza simu imara mkalime matikiti

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,567
2,000
Mgumu04 acha kuleta maneno ya shombo kama uzi umekukela pita kimya siyo kuleta maneno ya kipuuzi ili hali mwenzio ana hoja..

Nani asiyejua kuwa simu za TECNO ni mbovu?
---nakupa FACT ukitaka kujua simu hizi za tecno ni HOVYO narudia HOVYO KABISA nenda "Customer care yao pale kariakoo opposite na msimbazi police ghorofa la kijani" angalia idadi ya wateja walio rudisha simu kwa matatizo mbalimbali, tena simu hizo zipo ndani warrant na wakikutengenezea baada ya siku kadhaa tatizo linajirudia"?

afu wewe unakuja na maneno ya shombo kumkatisha tamaa mwenzio?

~ukiona post haikuhusu piga kimya~
 
Mudhyd

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
490
500

upo sahihi kabsa, tecno wana simu mbovu ajabu!!!
wanataka kushindwa na huawei!!!
 
kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,060
2,000
Mgumu04 acha kuleta maneno ya shombo kama uzi umekukela pita kimya siyo kuleta maneno ya kipuuzi ili hali mwenzio ana hoja..

Nani asiyejua kuwa simu za TECNO ni mbovu?
---nakupa FACT ukitaka kujua simu hizi za tecno ni HOVYO narudia HOVYO KABISA nenda "Customer care yao pale kariakoo opposite na msimbazi police ghorofa la kijani" angalia idadi ya wateja walio rudisha simu kwa matatizo mbalimbali, tena simu hizo zipo ndani warrant na wakikutengenezea baada ya siku kadhaa tatizo linajirudia"?

afu wewe unakuja na maneno ya shombo kumkatisha tamaa mwenzio?

~ukiona post haikuhusu piga kimya~
Mkuu labda Yupo sahihi Ila Mi simu ya tecno zinanisumbua labda yeye ya kwake inamfaa
 
Mgumu04

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,710
2,000
Mgumu04 acha kuleta maneno ya shombo kama uzi umekukela pita kimya siyo kuleta maneno ya kipuuzi ili hali mwenzio ana hoja..

Nani asiyejua kuwa simu za TECNO ni mbovu?
---nakupa FACT ukitaka kujua simu hizi za tecno ni HOVYO narudia HOVYO KABISA nenda "Customer care yao pale kariakoo opposite na msimbazi police ghorofa la kijani" angalia idadi ya wateja walio rudisha simu kwa matatizo mbalimbali, tena simu hizo zipo ndani warrant na wakikutengenezea baada ya siku kadhaa tatizo linajirudia"?

afu wewe unakuja na maneno ya shombo kumkatisha tamaa mwenzio?

~ukiona post haikuhusu piga kimya~
mh soma uzi tena jama kasema software wewe unasema customer care
 
pureView Zeiss

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
3,929
2,000
mkuu
Mgumu04 acha kuleta maneno ya shombo kama uzi umekukela pita kimya siyo kuleta maneno ya kipuuzi ili hali mwenzio ana hoja..

Nani asiyejua kuwa simu za TECNO ni mbovu?
---nakupa FACT ukitaka kujua simu hizi za tecno ni HOVYO narudia HOVYO KABISA nenda "Customer care yao pale kariakoo opposite na msimbazi police ghorofa la kijani" angalia idadi ya wateja walio rudisha simu kwa matatizo mbalimbali, tena simu hizo zipo ndani warrant na wakikutengenezea baada ya siku kadhaa tatizo linajirudia"?

afu wewe unakuja na maneno ya shombo kumkatisha tamaa mwenzio?

~ukiona post haikuhusu piga kimya~[/QUOTE
mkuu ukiacha huko customer care njoo hapa jukwaani utaona malalamiko mengi ni juu ya tecno tu
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
23,472
2,000
Kununua simu za tecno ni ukosefu wa akili na maarifa tuuu!!........Kuna simu imara, bora na impressive kuliko tecno na zinauzwa bei rahisi kuliko tecno zinazouzwa online!!..... zinauzwa kwenye masoko ya online kama vile Aliexpress, banggood, ebay e. t. c!
 
na wewe usiseme ni ukosefu wa akili kutumia tecno, Alichokupa Mungu si kila mtu kapewa sawa na ulichopewa wewe.

UBARIKIWE
 
Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,696
2,000
Nilishaapa kutotumia simu inaitwa TECNO! Hii ni baada ya office mate kuwa nayo. Basi watu tuko kwenye vikao serious kasimu kake kanapiga kengele kama nini! Since then nilitokea kuzichukia simu zinaitwa TECNO mpaka wa leo!
 
Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
42,859
2,000
Tecno zimetengenezwa kwa soko la Africa kulenga watu wa kipato cha chini na kati (Made in China) na ndio maana kila baada ya miezi kadhaa wanatoa toleo jipya..

Inshort ni simu mbovu kweli, nilishafunga nazo mkataba sitakuja kuzitumia tena tangu iniharibikie mwaka 2014 sina hamu nayo tena..Kwanza simu zenyewe hata kwenye Top 20 ya dunia ya simu bora hazipo

NB: Huu ni mtazamo wangu binafsi...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom