Tecno H6 mpya lakini haisomi lain

Chabo

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
1,098
Reaction score
1,176
Habari wakuu,

Jana nimenunua simu tajwa hapo juu, wakaniambia nisiitumie mpaka nitakapoichaji maana ni mpya. Baada ya kuichaji nikaingiza simcard zote mbili, lakini cha ajabu mpaka ninapoandika hivi sasa hakuna simcard yeyote iliyosoma. Tafadhali kwa yeyote anayejua ufumbuzi wa hili kabla sijairudisha dukani naomba anisaidie.

Shukran.
 
Warudishie waifanyie instilation wenyewe kama vipi wakupe nyingine
 
Ahsanteni kwa ushauri wakuu,nitafanya hivyo Njunwa & iliso
 
Last edited by a moderator:
weka lain hizo vizur..najua kwenye kuziweka ndo umepata mtiti..!! hazina tatizo hiz CMU mkuu.
 
tecno bhana,,,ni shida.,.
ila mi ckubalig kuondok na ki2 bila kukitest,,,hata kama ni kipya,.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…