Tecno cx air inagoma kufungua baadhi ya apps, msaada tafadhali

Tecno cx air inagoma kufungua baadhi ya apps, msaada tafadhali

kuruta

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
261
Reaction score
103
Msaada wakuu natumia hii simu lakini inaniacha hoi kwenye jambo moja tu, nikidownload app inachagua kuzifungua zingine zinafunguka vizuri zingine zinagoma kabisa inaandika unfortunately show box stopped, Msaada wenu mhimu Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom