Spark 4 nilinunua 250k na camon 12 nilinunua kipindi zimeingilia mwaka 2019 kwa 270k ila kwasasa zimeshuka sana.Bei ya camon 12 na spark ni kiasi gani ?,
Kwanini nasema hivyo nadhani option ya kuuza moja yenyewe kama yenyewe na kununua unayotaka ni nzuri zaidi..., sababu huenda kuna matatizo ndani ya hio simu ambayo mtu anayagundua baada ya muda fulani...
Mkuu wewe wasema biashara za kizamani ila mtaani tunafanya exchange kama kawaida maana huenda mie nimechoka kutumia simu fulani halafu kuna mwingine anaitaka na ameichoka abayotumia yeye.Biashara za kizamani hizo.
Mambo ya 'cheni bandia (fake)na pesa bandia.(fake)
Ushauri:
Uza hata kwa Bei ya hasara then jichange ununue mpya.
Duh! Haya bwashe! Naona unadumishaMkuu wewe wasema biashara za kizamani ila mtaani tunafanya exchange kama kawaida maana huenda mie nimechoka kutumia simu fulani halafu kuna mwingine anaitaka na ameichoka abayotumia yeye.
kafanye huko mtaani kwenu acha kutusumbua mkuuMkuu wewe wasema biashara za kizamani ila mtaani tunafanya exchange kama kawaida maana huenda mie nimechoka kutumia simu fulani halafu kuna mwingine anaitaka na ameichoka abayotumia yeye.