TECNO Tanzania
Senior Member
- Jul 6, 2016
- 192
- 217
Hahaha hahaha hahahaTECNO NI CALCULATE ZILIZOCHANGAMKA
Tulie tu ndugu yanguNyie vipi ? Sasa Tetesi zinatolewa na akaunti rasmi ? Tetesi zinatakiwa zitoke uchochoroni huko.
Mimi nina Tecno ipo android 6.0 ni lini nitapata android 12 au ndio basi tena ?๐
Unaleta fujo kwenye biashara za watuTECNO NI CALCULATE ZILIZOCHANGAMKA
Shida siyo hizo MP shida ni kama kamera itachukua picha kwa pixel ngapi? Na kama kioo cha simu kitasupport details kuonekana vyema.Mkuu tetesi za Bei ya hiyo simu zikoje? Nimevutika Sana,maana kazi zangu Mimi zihusu picha muda mwingi!!!
So kipi ni kipi mkuu?Shida siyo hizo MP shida ni kama kamera itachukua picha kwa pixel ngapi? Na kama kioo cha simu kitasupport details kuonekana vyema.
Waweza ona picha kwenye simu inaonekana nzuri ila ukiiweka kwenye computer unaona haina ubora kama uliouona kwenye simu.
Subiri watoe details zote ndiyo ujue kama itafaa na kazi zako za pichaSo kipi ni kipi mkuu?
Gimbal ni tech ya BBK hivyo shukran ziwafikie Oppo, Vivo, oneplus kwa kulicence tech yao kwa Tecno.Ngoja waje jamaa wa iPhone, Samsung,xiaomi,OnePlus na oppo[emoji2]
700,000 mpaka 1M huko Duniani.Mkuu tetesi za Bei ya hiyo simu zikoje? Nimevutika Sana,maana kazi zangu Mimi zihusu picha muda mwingi!!!