Wewe ni mfuatiliaji wa technolojia ya simu?Unaelewa tofauti kati ya simu za Tecno na brand nyingine kama vile Huawei,Samsung,iphone,xiaomi,oppo,Vivo,etc?
kusema kweli sijui, sijui kabisa....teknolojia ya simu ni operating system ipi inatumika kwenye simu hizo, nadhani hapa ndipo pa kuanzia/prime factor....... Android na IOS. Mengine ni nyongeza za brand husika????

Kikubwa kabisa ukitaka kujua ni simu ipi bora ndani ya android operating system miongoni mwa mambo ya msingi ya kujifunza/kuangalia ni aina ya processor ambazo simu hizi hutumia,ni processor ipi ni bora,vigezo gani hutumika kujua hii ni processor bora au laa,kuna madhara gani kutumia simu zinazotumia processor za hovyo,kuna faida gani kutumia simu zinazotumia processor bora na mwishowe jifunze ni simu gani ndani ya android operating system zinatumia processor bora na ni simu zipi zinatumia processor za hovyo halafu utakuja kunishukuru baadae!
Behaviourist kuna kitu kingine tena hapa, njoo... nadhani sasa hizi processors na chipset (sijui ni nini) brand wanatengeneza wenyewe au zinakuwa supplied na operating system company?