Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi

Nilikuwa namtania jirani yangu mwenye tecno kwamba simu zao zinaweza kujipiga au kutuma pesa bila mwenye simu kujua.
Hatujakaa muda mrefu tunasikia simu inaita, kuangalia ni ile tecno imejipiga yenyewe kwa namba ya mtu ambaye yupo Uganda huko.
 
App zakw kustak stak ama kuganda vip?, mana ndio shida ya tecno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nandembako hii labda unaweza kuifananisha na simu ya kampuni gani unaona imepitwa? Labda ni kiboko kwa bei kubwa,... Maana hii Tecno naiona imepitwa na simu nyingi tu za ukweli ambazo zina range chini ya laki nne na nusu.
Hamna,mzee simu ya chini ya laki nne yenye 3gb,32gb rom kwa laki nne dukani niambie mzee simu gani yenye jina inauzwa hivyo dukani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakupa mfano: mara ya mwisho nimenunua hii,... Redmi Note 7 4GB 64GB 48MP Cameras Snapdragon 660 Octa Core 6.3'' FHD+ QC 4.0 4000mAh Battery
TZS 479821.56
Sasa angalia ni jinsi gani hiyo Camon X Pro ilivyo ghali
How quite is real,ulinunua bongo...maana kwa cent hizo lazima sio bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo sawa nimeelewa,ukiingia ebay unaeza kupata simu kali kwa bei rahisi,binafsi nilikuwa sipendi brand ya tecno ila hii imenivutia
Yep! sio TZ, na hata ikija TZ itauzwa laki sita na zaidi. Sahivi Dunia kijiji nikuagiza tu hata kama umelala kitandani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah chief wewe hauko informed kabisa,kweli unatoa laki tano unanunua Techno???...Tena yenye Ram 3GB na ROM ya 32GB??.....Kama unataka simu bora na sio kwamba unanunua kwa sababu ya jina basi next time nakukaribisha nicheki nikupe muongozo wa simu ya kununua kutokana na thamani halisi ya pesa yako,laki tano kwa hiyo MediaTek device umejidhulumu pasipo kujijua mkuu.
 
Kabisaa yaaani natamani kulia jinsi mtoa mada alivyo idhurumu nafsi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…