john wa seba
Member
- Oct 8, 2015
- 57
- 23
Wataalamu wa tecnolojia naomben mnimalizie huu mkanganyiko. Kati ya SAMSUNG S5 na TECNO C8 ipi simu bora na nzuri katika matumizi?? Zinanichanganya saanaa!!!
ahahahahakuna simu hapo kutoka kwenye app ya whatsapp kwenda kwenye app nyimgine kama JF ina load utafikiri inacheza bluzi wakati nyenzake unaswitch tu kutoka app moja hadi nyingine kiulaini sina haja ya kuitaja jina kwa sababu hata wewe unaijua umetaka kujiulizisha tu
Hii sasa zereuWataalam wa tecnolojia naomben mnimalizie huh mkanganyiko. Kati ya SAMSUNG S5 na TECNO C8 ipi simu boraa na nzuri katika matumizi.??? Zinanichanganya saanaa...!!!
Unajua kitu kikiletwa humu mnufaika sio mleta mada tu?kuna simu hapo kutoka kwenye app ya whatsapp kwenda kwenye app nyimgine kama JF ina load utafikiri inacheza bluzi wakati nyenzake unaswitch tu kutoka app moja hadi nyingine kiulaini sina haja ya kuitaja jina kwa sababu hata wewe unaijua umetaka kujiulizisha tu
kuna simu hapo kutoka kwenye app ya whatsapp kwenda kwenye app nyimgine kama JF ina load utafikiri inacheza bluzi wakati nyenzake unaswitch tu kutoka app moja hadi nyingine kiulaini sina haja ya kuitaja jina kwa sababu hata wewe unaijua umetaka kujiulizisha tu
Kakaaa nmekuelewaaa saaanaaaS5 ni nzuri na bora zaidi ya C8
Kwanza S5 ina finger print
Pili display ya S5 ni super amelod na ina protection ya gorilla glass 3 wakati C8 ina display ya IPS ambayo ina mwanga hafifu na kwenye jua haionekan vzur.
Tatu ni RAM S5 ina 2GB wakati c8 ina 1GB
Nne ni processor S5 ina processor ya Quad-core 2.5 GHz Krait 400 ina nguvu na speed wakati c8 ina processor ya 1.3GHz quad-core Cortex-A53 CPU, MediaTek MT6735 chipset hii ikiwa na uzaifu mkubwa hasa speed yake.
Nne ni camera S5 ina camera mbili ya nyuma ina 16 megapixel na ya mbele ina 2 megapixel ambazo zote ni HD wakati c8 nayo ina camera mbili ya nyuma ni 13 migepixel na ya mbele ni 5 megapixel hii camera zake hazina uang'avu ambao utaupata kwenye camera za S5
Tano S5 ina LTE(4G) wakati c8 haina LTE
Natumaini kwa haya machache utakua umepata mwanga kidogo.