Plan Radeem King
Senior Member
- Mar 25, 2018
- 198
- 127
Wakuu tach ya hii simu ipo connected together na Display ama tofauti?
Natanguliza shukrani
Natanguliza shukrani
Complete vinauzwajwe mkuu?tofauti hizo
60 kwa vyote unapata kioo na tachi mpk na fundi anapata hapohapoComplete vinauzwajwe mkuu?
Thanks mkuu60 kwa vyote unapata kioo na tachi mpk na fundi anapata hapohapo