hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,799
sawaaa
Mkuu hiyo simu kwa hizo specs zake inaweza kweli kuhimili game au applications za uwezo mkubwa?
Poa. Thanks bro.Kila site ninayoangalia hawajaandika ni chip gani ya mediatek iliotumika hivyo sijui nguvu ya cpu na gpu ipoje. Labda tusubir zaidi watatoa taarifa nyengine
Kila site ninayoangalia hawajaandika ni chip gani ya mediatek iliotumika hivyo sijui nguvu ya cpu na gpu ipoje. Labda tusubir zaidi watatoa taarifa nyengine
Mbona ntamaholo kaandika specifications zote uzi nambia #5 ?
MT6735 na Mali730 vp tuambie inaweza kuplay game zenye graphics kubwa km asphalt8?
Hio comment yangu umequote kwa post ya startimes planet na sio tecno.
Pia jamaa amesema ina mali 760 kitu ambacho nadhan si sahihi, kushare same gpu na s6 simu yenye nguvu sana.
Nimeangalia fresh hio mtk ina mali t720 ambayo ni kama robo ya hio t760.
Gpu na magame mara nyingi huathiriwa na resolution ya kioo.
Kama ni 480p au 540p haina neno utacheza games fresh, kwa hd itacheza ila itakua si nzuri sana na full hd haiwez kucheza kabisa.
Hii c5 ina 720p (hd) hivyo perfomance itakuwa ni ya kawaida sana. Sio kubwa wala sio ndogo
Sawa nimekuelewa ila kwa bei yao ya 300000 sini bora s2 km itapata uppdate za marshmallow
Unaposema band za simu mfano wake ni kama radio.
![]()
Mfano radio one wanaweza kusema tunapatikana 88.8 fm basi wewe kuipata radio one itabidi uchukue radio yako usearch 88.8fm ili kuipata radio one.
Mambo yapo hivyo hivyo kwa tigo, wao 4g yao inapatikana 800mhz ili uipate inabidi simu yako iwe na hio band.
Huwezi kukilaumu kituo cha radio au mtandao wa simu kwa kuchagua band fulani ni sisi watumiaji ndio tunatakiwa kununua vifaa vinavyokubali hio band.
Lawama zote zinakuja kwa mnunuzi kabla hujanunua kifaa chako angalia band kama zinafanana, usinunue redio isiyo na fm halafu ukalalamika radio yako haishiki.
Simu zinazokuja africa zisizopatikana gsmarena utazikuta bestmobsMkuu kuna jamaa fundi aliwahi weka FM kwenye radio zile za national ambazo hazikuwa na FM waves kabla. Nimekumbuka uyo fundi ili niulize kama kunaweza kuwa na utundu wa kuweka hizo bands kwa simu ambazo hazina hizo bands kama alivyofanya jamaa kwenye radio😕😕😕
Pia kama simu haipo gsm arena nawezaje kujua bands zake???
Asante.
Mkuu kuna jamaa fundi aliwahi weka FM kwenye radio zile za national ambazo hazikuwa na FM waves kabla. Nimekumbuka uyo fundi ili niulize kama kunaweza kuwa na utundu wa kuweka hizo bands kwa simu ambazo hazina hizo bands kama alivyofanya jamaa kwenye radio😕😕😕
Pia kama simu haipo gsm arena nawezaje kujua bands zake???
Asante.
Unaposema band za simu mfano wake ni kama radio.
![]()
Mfano radio one wanaweza kusema tunapatikana 88.8 fm basi wewe kuipata radio one itabidi uchukue radio yako usearch 88.8fm ili kuipata radio one.
Mambo yapo hivyo hivyo kwa tigo, wao 4g yao inapatikana 800mhz ili uipate inabidi simu yako iwe na hio band.
Huwezi kukilaumu kituo cha radio au mtandao wa simu kwa kuchagua band fulani ni sisi watumiaji ndio tunatakiwa kununua vifaa vinavyokubali hio band.
Lawama zote zinakuja kwa mnunuzi kabla hujanunua kifaa chako angalia band kama zinafanana, usinunue redio isiyo na fm halafu ukalalamika radio yako haishiki.
hapana zipo band chini ya hapo 700mhz nkKwaiyo 4g band zote zinaanzia 800mhz na kuendelea?