Tecno C5
4G
Lollipop 5.0
2500mhAm
Ram 1GB
8GB int memory
8MP
5inch screen
Kwanini waiuze bei hiyo
iko poa lakini mtauziwa laki 8
Ivi tatizo ni makampuni yetu ya simu yako nyuma kitecnolojia au ni kosa la watengenezaji
Unaposema band za simu mfano wake ni kama radio.
![]()
Mfano radio one wanaweza kusema tunapatikana 88.8 fm basi wewe kuipata radio one itabidi uchukue radio yako usearch 88.8fm ili kuipata radio one.
Mambo yapo hivyo hivyo kwa tigo, wao 4g yao inapatikana 800mhz ili uipate inabidi simu yako iwe na hio band.
Huwezi kukilaumu kituo cha radio au mtandao wa simu kwa kuchagua band fulani ni sisi watumiaji ndio tunatakiwa kununua vifaa vinavyokubali hio band.
Lawama zote zinakuja kwa mnunuzi kabla hujanunua kifaa chako angalia band kama zinafanana, usinunue redio isiyo na fm halafu ukalalamika radio yako haishiki.

| [h=3]General Information[/h] | |
| 2G Network | GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 |
| 3G Network | HSDPA 2100 |
| 4G Network | No |
| SIM | Dual mini SIM |
| Status | Unannounced – Expected Auhust 2015 |
| [h=3]Body[/h] | |
| Dimensions | |
| Keyboard | Touchscreen |
| Colors | White, Black |
| Cover | Plastic |
| [h=3]Display[/h] | |
| Type | IPS capacitive LCD touchscreen with 16,000,000 colors |
| Size | 5.0 inches, 720 x 1280 pixels, 294 pixels per inch |
| [h=3]Memory And OS[/h] | |
| Card slot | MicroSD, up to 32GB |
| Internal | 8GB |
| OS | Android 5.0 Lollipop |
| Processors | 1.3GHz quad-core Cortex-A53 CPU, MediaTek MT6735 chipset, Mali-T760 GPU |
| RAM | 1GB |
| [h=3]Audio[/h] | |
| Alert types | Vibration, MP3 ringtones |
| Loudspeaker | Yes |
| Audio port | 3.5mm jack |
| [h=3]Connectivity[/h] | |
| 2G | GPRS – up to 85.6 kbps; EDGE – up to 236.8 kbps |
| 3G | Up to 42 mbps downlink; Up to 5.67 mbps uplink |
| 4G | No |
| WIFI | Wi-Fi 802.11 b/g/n, Wi-Fi hotspot |
| Bluetooth | Version 4.0 |
| GPS | A-GPS |
| NFC | No |
| USB | MicroUSB v2.0 |
| [h=3]Camera[/h] | |
| Primary | 8MP, up to 3264 x 2448-pixel-pictures, HDR, autofocus, panorama, Geo-tagging camera with LED flash |
| Video | 1080@30fps |
| Secondary | 2MP up to 1600 x 1200-pixel pictures |
| [h=3]Battery[/h] | |
| Capacity | 2500mAh Li-Ion battery |
| Stand-by | |
| Talk time | |
| Music play | |
| [h=3]Other Features[/h] | |
| Sensors | Accelerometer, Proximity |
| Messaging | SMS, MMS, Email, Push Mail, IM |
| Browser | HTML |
| Java | No |
| Miscellaneous | - MP3/WAV/eAAC+/WMA player – FM Radio – MP4/H.264/H.263/WMV player – Image viewer and editor – Document viewer and editor – Preloaded applications – GTalk , WhatsApp, Facebook, YouTube, Google Talk, etc. |
| [h=3]Price[/h] | |
| Price level | About 20 USD |
Mkuu hiyo simu kwa hizo specs zake inaweza kweli kuhimili game au applications za uwezo mkubwa?Chip zote za mediatek na qualcomm sasa hivi zina 4g hivyo almost simu zote mpya zinazotoka sasa hv zitakuwa na 4g
Swali linakuja ndio ina 4g je band zake zinaingiliana na mitandao yetu? Hio c5 ina band 800 kama haina itakuwa haina maana