gstar
JF-Expert Member
- Jun 19, 2011
- 814
- 1,490
Wiki iliyopita nimenunua simu aina ya Tecno boom J8 baada ya kusikia sifa zake nyingi kwa watu wanao zitumia lakini cha ajabu baada ya kuinunua wala sijaifurahia kabisa
Kwanza touch sensitivity iko very low
Camera quality is poor wanasema 13px lakini kimsingi itakuwa chini ya hapo labda wanatumia lugha ya kibiashara tu
Screen resolution iko chini sana
Ninawasiwasi na processing speed yake.
Ki msingi sijaifurahia japo imekuwa ikipigiwa promo sana
Kama kuna mtu ambaye amesha tumia hii simu aje hapa atupe feedback