rodney jr.
Senior Member
- Feb 12, 2014
- 139
- 73
Msinunue simu za lumia zenye 512mb ram sababu simu mpya za microsoft zote zina 1gb ram hadi za bei rahisi. Hii inamaana future updates simu za 512mb ram zitaachwa.
Kama budget ni ndogo sana angalia lumia 430, 435, 532 ni za bei rahisi sana
Hata mm awali nilikuwa naangalia ukubwa pixel kwa simu ambazo sio tecno lkn nimekuja kugundua uzuri wa camera piga picha halafu uizoom ile picha utaona tofauti. Camera nyingi za tecno ukizoom picha picha inakuwa na mawingu.
Ina maana mkuu Chief Lumia yangu 630 nitakosa update kweli? Maana ina Ram 512mb.
Nimekupata mkuu ... Hata hvyo kuna haja ya kupata toleo jipya km ni hvyo. Na vp kuhusu lumia 640 XL
Lumia 6xx ni budget phone bado sehemu kama usa/uk zinauzwa bei rahisi sana, wakati mwengine hadi $50 (100,000) Ukitaka storage kubwa inabidi uje kwenye 8xx series kama lumia 830. Sijui wanaziuzaje hizi 830 hapa tz ila amazon zimeshuka sana sasa hv zipo range ya dola 250 (500,000 hadi 600,000) ambayo ni kama hio xl Ila pia ukiwa na memory card nzuri kama class 10 lumia zinakubali kuhamisha vitu kwenye sd cardOk. Hapo nimekupata mkuu.. Ila sijui kwa nn simu nyingi km hyo lumia ina muonekano mzuri na mkubwa lkn uwezo wake ni GB 8 tu internal
Boom J ndo mpango mzima, inauzwa 320,000 ukikomaa hadi 280000 wanakupa
Wapi huko ghali hivyo?
Hapa Moshi zapatikana kwa 250,000/=
Wapi huko ghali hivyo?
Hapa Moshi zapatikana kwa 250,000/=
Lakini pamoja na yote tecno wametutoa vumbi la macho maana ilikuwa ukizungumzia hzi android phones bei ilikuwa kigongo. Leo Samsung na lumia bei ilikuwa maumivu yasiyo kifani. Big up Chinese phones
Si kweli kwamba kila camera ya lumia ni nzuri kuliko ya tecno. Hao waliopiga picha wamepiga labda na T410 au T series.
Angalia hii picha ya Tecno L3 yenye cam ya 3.0 MP
Na hii
Hii hapa ya lumia 435 yenye cam 2.0MP.
Na hii
Sasa je ukiona picha ya j7 au phantom hizo ndio za kulinganisha na lumia zenye kuanzia 5MP lakini sio hizi lumia za 2.0MP ambazo hazitumii sensor za maana