At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,557
- 3,628
Jamaa atakuwa anapiga kambaTecno spark 2 na pop 2 power ni simu mbili tofauti.....
Jamaa atakuwa anapiga kambaTecno spark 2 na pop 2 power ni simu mbili tofauti.....

Tecno oyeeeWakuu hapa nashindwa kuelewa kabisa
Simu Ina
internal memory 8gb
Ram1gb
Sasa haya mafile ya 61gb yalieneaje humu??
View attachment 1480211View attachment 1480212