eRRy JF-Expert Member Joined Jun 12, 2009 Posts 1,126 Reaction score 208 Oct 16, 2011 #1 Wakati Watoto wakifurahia Vipodi Baba Mh! Attachments Technology.jpg 66.3 KB · Views: 339
Ruge Opinion JF-Expert Member Joined Mar 22, 2006 Posts 1,838 Reaction score 707 Oct 17, 2011 #2 Hizo ni toys za watoto waliokua kidogo. Lakini baba ndiye anagharimia. Raha aipate wapi? Kila version mpya kwake ni maumivu.
Hizo ni toys za watoto waliokua kidogo. Lakini baba ndiye anagharimia. Raha aipate wapi? Kila version mpya kwake ni maumivu.
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Oct 17, 2011 #3 kiukubwa zaidi inaumma
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,832 Reaction score 637 Oct 17, 2011 #4 :focus:
M Mahona Senior Member Joined Sep 29, 2011 Posts 162 Reaction score 13 Oct 17, 2011 #5 Nashindwa kuielewa naombaa msaada wenu, huyo anayewaza iPAID ina maana gani?
Gobegobe JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 244 Reaction score 23 Oct 17, 2011 #6 Hahahaha siku yangu ishakuwa nzuri.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,886 Oct 17, 2011 #7 M Mahona said: Nashindwa kuielewa naombaa msaada wenu, huyo anayewaza iPAID ina maana gani? Click to expand... kwamba yeye ndio amelipia zote hizo......
M Mahona said: Nashindwa kuielewa naombaa msaada wenu, huyo anayewaza iPAID ina maana gani? Click to expand... kwamba yeye ndio amelipia zote hizo......
MaxShimba Platinum Member Joined Apr 11, 2008 Posts 36,008 Reaction score 4,093 Oct 17, 2011 #8 I paid, sorry for the bills.