franknombo
Senior Member
- Mar 30, 2019
- 170
- 160
Habari cm yangu inashindwa kuinstall app na ukidownload video au audio inaandka memory full wakati kuna free space 400mb nimejarb clear cache na clear data kwenye play store bado inagoma wakuu naomben msaada wadau