Techno Y6 kushindwa kuinstall app na video

franknombo

Senior Member
Mar 30, 2019
170
160
Habari cm yangu inashindwa kuinstall app na ukidownload video au audio inaandka memory full wakati kuna free space 400mb nimejarb clear cache na clear data kwenye play store bado inagoma wakuu naomben msaada wadau
 
SIMU YAKO INA STORAGE KIASI GANI MKUU



KWELI ALIYESEMA TECNO NI KIFAA CHA MAWASILIANO HAKUKOSEA
 
UZA TEKNO HIYO UNUNUE SIMU MKUU...HUTOPATA HIZO STRESS UTAISHIA KUZISIKIA TU KWA TECNO USERS WENGINE
 
Back
Top Bottom