Techno N7

Techno N7

Adolph

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2010
Posts
895
Reaction score
346
Wakuu wapi ntapata hii simu hapa bongo na zinauzwa sh ngapi?
 
Ni TECNO sio TECHNO.

I see kuna wa2 wanatafuta bronze member kwa ku post replies nyingi

Join Date : 16th June 2011
Location : Dar Es Salaam
Posts : 2,458
Rep Power : 891
Likes Received497
Likes Given74

Utabaki senior member hata u reply vp vi2 visivyo na maana
 
nashukuru kwa kuelewa nilimaanisha nini

I see kuna wa2 wanatafuta bronze member kwa ku post replies nyingi

Join Date : 16th June 2011
Location : Dar Es Salaam
Posts : 2,458
Rep Power : 891
Likes Received497
Likes Given74

Utabaki senior member hata u reply vp vi2 visivyo na maana

Ndugu yangu Njunwa kama vocha zimekudodea acha hasira, wala siongei na wewe
 

Mkuu C6 namheshimu sana huyu jamaa lakini sijui kwanini anakua anaingilia thread za watu kisha anaanza kutoa lawama hewa wakati wenye thread wanaelewa vizuri tu. Namuomba aache bias maana haijengi.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu Njunwa kama vocha zimekudodea acha hasira, wala siongei na wewe

mkuu najua tunaheshimiana lkn mambo mengine ni madogo una haja ya kukosoa maneno ka hayo

Kuhusu voucher wala usi panic nilipewa zawadi ya voucher 50 na sasa zote zimeiisha na nimeanza za kununua kumbuka hapo hapo na Unlock modem kabla ya kuuza voucher

So no kufuria na mwezi huu ukiiisha si uzi tena sababu nina hela mpaka natamani kujiteka
 
Mkuu C6 namheshimu sana huyu jamaa lakini sijui kwanini anakua anaingilia thread za watu kisha anaanza kutoa lawama hewa wakati wenye thread wanaelewa vizuri tu. Namuomba aache bias maana haijengi.

Mkuu sijaingilia thread Mkuu .............YAISHE MTAZAMO WANGU ULIKUWA WRONG
 
Back
Top Bottom