Nashindwa kuelewa, Mtu anapoandika hivi

Nashindwa kuelewa, Mtu anapoandika hivi

Wakuu naomba mnipe elimu
Mfano mtu kaandika ni 2k tu au nina 300k? Huwa sielewi ni sh ngapi.?

Mfano:
305k
3.5k

huwa sielewi Naomba mnielewesha Zinasomeka kama sh ngapi?

NAWASILISHA
Naamini umeshaelekezwa.Hilo neno hata shangazi mmoja aliitwa Nasma Hamish Kidogo alilijua maana yake tangu miaka ya 1990s na kutungia wimbo unaitwa Y2K=Year 2000.Nimeshangaa wewe wa kileoleo hulijui.
NB:Y2K/Achia ngazi mchuma unaondoka.Wimbo alioupenda al-marhum Augustine Lyatonga Mrema kwenye mikutano na kampeni zake za kisiasa.
 
Back
Top Bottom