Tukiachana na suala la kuweka miguu ndani ya maji,nadhani kuna njia nyingine nyingi ambazo watu hutumia. Huwa kwa kawaida kuna uvivu huwa unatokea kabla ya kushika daftari. Tusaidianeni jamani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.