Technicians

Technicians

Joined
Sep 2, 2013
Posts
45
Reaction score
6
Jamani naomba msaada. Nina satellite dish futi 5 na LNB model 666 naomba kama mtu anajua ni katika namba gani LNB ifikie kwenye namba ipi ukilinganisha na ile round ya dish I mean up od down kwa ki_LNB? maana channel zote zimepotea na frequency ni sahihi, polarization na aina ya satellite ni intelsat 906 64E nyuzi. naomba kusaidiwa
 
Back
Top Bottom