Basic technician CertificateHabari yenu waungwana...!
Naomba kujua utofauti kati ya hizi certificates,(Technician certificate and basic technician certificate).Ni ipi inaanza kati zote mbili...!
Basic Techniciab Certificate ndio huanzaaHabari yenu waungwana...!
Naomba kujua utofauti kati ya hizi certificates,(Technician certificate and basic technician certificate).Ni ipi inaanza kati zote mbili...!
Yeah HujakoseaBasic technician Certificate
(Cheti msingi au awali, pia hufahamika kama NTA LEVEL 4 kwa mfumo wa Nacte, (ONE YEAH COURSE)
Technichian Certuficate (Cheti hatua ya pili) pia hufamika kama NTA LEVEL 5 kwa mfumo wa Nacte) (ONE YEAR COURSE)....
HIVYO
NTA 4 + NTA 5 = TWO YEARS
NYONGEZA
ORDINARY DIPLOMA = NTA 6
ADVANCE DIPLOMA = NTA 7
BACHELOR DEGREE = NTA 8
MASTERS DEGRSEE = NTA 9
PhD = NTA 10
(Source UQF 2020, NACTE 2020)
Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
Kwa kuongezaBasic technician Certificate
(Cheti msingi au awali, pia hufahamika kama NTA LEVEL 4 kwa mfumo wa Nacte, (ONE YEAH COURSE)
Technichian Certuficate (Cheti hatua ya pili) pia hufamika kama NTA LEVEL 5 kwa mfumo wa Nacte) (ONE YEAR COURSE)...
Basic technician Certificate

Shukrani
Basic technician Certificate
(Cheti msingi au awali, pia hufahamika kama NTA LEVEL 4 kwa mfumo wa Nacte, (ONE YEAH COURSE)
Technichian Certuficate (Cheti hatua ya pili) pia hufamika kama NTA LEVEL 5 kwa mfumo wa Nacte) (ONE YEAR COURSE)....
Na tofauti ya Ordinary Diploma na Advance Diploma imekaaje hapo...Kwa kuongeza
Level4 na Level5 ndo Technician Certificate ambayo ni unasomea miaka miwili