SON OF THE LAND
JF-Expert Member
- Oct 7, 2015
- 204
- 210
“technical issues on the contract”, Ndugu mh Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania hilo neno lililokua bold ndipo tulipokua na matatizo kwa muda mrefu katika mikataba yetu mingi, mh rais, inawezakua inafanywa kwa makusudi au hatuna uwezo katika hio sehemu ''Law of contract'' kuna tatizo kwa wafanya kazi wa serikali wanaoingia hio mikataba , sasa basi usione aibu kwenda kutafuta huo msaada kwa Law firm ambazo ni wazuri katika hicho kipengere ili tusije ingia kwenye yale mambo yetu ya as usually kama ESCROW, a hao ndugu zetu wa Tanesco.
ni jukumu letu sote kukumbushana
Hongereni sana wewe na team yako mh president , huo mradi ni mzuri sana kwa muhtakabali wa nchi yetu hela zinatakiwa kukopwa kwa mambo kama hayo sio kulipa mishahara.
China Exim Bank Will Lend Tanzania $7.6 Billion for Railway