Tech Solution Ushauri wa haraka

Seba7

New Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
4
Reaction score
5
Ebwana vipi Kupitia YouTube nimeamua kufungua kaChannel kangu kanachohusu Tech....yaan matatizo yote ya Technology kuhusu simu yako na Web kiujumla.
.
Leo nataka niweke video 5 za Mwanzo lakini nahitaji mchango wenu katika hili wana JF...naomba uniandikie hapo chini nianze na Solution ya Ku-Solve tatizo gani katika simu yako nami nitafanya kabla ya saa 6 Mchana endapo mtanitajia idea nyingi zaidi nitazidi kuzifanya kadri ya muda unavyokwenda.
.
Asanteni

Seba7
 
Recycle Bin kwenye simu inakaa maeneo gani? Maana kuna ndugu hapa wanasema sana hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…