TEC yawashangaa UKAWA


MODS: badilisha headline ya uzi huu kwa kuondoa TEC.
 

Nadhani wewe ndio Kanjanja, unamkashifu Askofu kwa sababu ya uelewa wako mdogo au pia unatumia ushabiki na mapenzi yako kwa UKAWA bila kufikiri.

Kama UKAWA walimwambia Raisi kwenye kikao na akakataa, kwanza kwa nini waliafiki makubaliano wakati madai yao hayajakubaliwa? Na pili kwa nini waiofanya press conference na waaandishi wa habari baada ya hayo makubliano yao hawakusema kuwa dai lao la kusitisha katiba mara moja wamemwambia Raisi na limekataliwa?

Jaribu kuwa critical thinker na siyo unakurupuka tu na kumkashifu mtumishi wa mungu kutokana na uwezo wako mdogo wa ku analyze mambo!
 

Naona kama hamna ulichojibu hapo, ulichoandika wewe ndio swali ambalo huyo Askofu ameuliza, kama UKAWA walijua hayo kwamba bunge kuendelea ni kutumia hela vibaya kwa nini wasingemwambia Raisi walipokutana nae badala ya kuitisha maandamano. Kama walimwambia akakataa, kwa nini hawajasema na kwa nini walikubali kusaini maridhiano?
 
Serikali iwe makini na magaidi wa UKAWA,watavuruga hii nchi mkiendelea kuwachekea.
 
Serikali iwe makini na magaidi wa UKAWA,watavuruga hii nchi mkiendelea kuwachekea.
 

Ha ha mbona misuli imekusimama bibie! Unajua walikibalia mambo gani? Au unakurupuka tu! Hilo LA kusitisha binge ndo lilikiwa na mvutano mkubwa mpaka rais akakasilika nakutaka kuondoka,ukawa wakamwbia back sisi tunaenda kwa wananchi! Alafu wewe unakurupuka tu
 
Jamani hivi ile ilikuwa ni ukawa ama huyu askofu kajichanganya?. Cheo sikuizi ni mwenyekiti wa ukawa? Nadhani heshima ya askofu hapa inashuka
 

Sasa kama hawakukubaliana kwa nini UKAWA walikubali kusaini makubaliano, makubaliano gaani wakati jambo la msingi hawajakualiana?
 
Baada ya nchi hii kuonekana ina rasilimali nyingi mabeberu bila shaka wako kazini na vibaraka wao kuisambaratisha nchi ili wajiokotee railimali za nchi yetu. Hebu fikirieni,... ukawa ni nini hasa kama sio mwanzo wa fujo. kwanza cdm walikua wakiimba katiba mpya lazima. sasa wameona mpango wao wa kuvunja taifa kwa kisingizio cha katiba mpya umezimwa wamerukia mambo mengine kama kutaka mchakato ufutwe. la msingi wanajitahidi kufanya siasa yoyote inayoweza kuwapatia umashuhuri bila kujali mstakabali wa taifa.
 
Sasa kama hawakukubaliana kwa nini UKAWA walikubali kusaini makubaliano, makubaliano gaani wakati jambo la msingi hawajakualiana?
Weka nakala hapa na hizo saini zao namimi niweke zangu tuone walikubaliana mambo gani! Tatizo unaamini ya cheo Huyo kada wenu! Kweli were nikaputo
 
Hata kama nikiwa maiti,bado maiti yangu itawakataa ukawa.(umoja wa katiba ya walafi)
 
Hivi kichwa cha habari mbona hakielezi habari yenyewe? Mtoa post...TEC ina msemaji wake na huwa ni baada ya vikao halali...sasa kuhusu hilo ka Severin kasema binafsi wala hajakaa na mtu yeyote kwa hivyo ni mawazo yake sio ya TEC...over
 
UKAWA kutokana na uchanga wao wengi tulitarajia kitu kama hiki ("nusu ushindi"/sare) kingewatokea na wala si aibu.

Kwa yoyote aliyekuwa akilifuatilia "gemu" kwa karibu atakubaliana nami kuwa kuna wakati UKAWA wanaonekana kuwa walikuwa wanataka "kucheza" lakini hawakuweza (hawakuwa na uwezo?).

Kivyovyote vile wamejaribu, je Maaskofu wao wamewafanyia Watanzania kitu gani?
Wamefanya nini zaidi ya kudandia hoja ya Kubenea?
Kweli mkono wa Maaskofu unaweza kukosekana katika kuuharibu mchakato?

Wangekaa kimya tu...
 
`Ukawa inatisha ,yaani hata hawahusiki lakini wajamaa ile kutetemeka yao wanaona UKAWA wamo ,wacheni kuweweseka wakati hata usingizi bado ,mnajaribu kupapasa kuwatafuta UKAWA walipo !
 
TEC ina njia zake za kutoa taarifa, msitake kuwaingiza kwenye mtafaruku wenu wa kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…