TEC haijatoa WARAKA wa Pasaka 2025

TEC haijatoa WARAKA wa Pasaka 2025

moma2k

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2010
Posts
1,109
Reaction score
1,423
To be honest, mwaka huu TEC haijatoa waraka wa Pasaka 2025. Na siyo lazima TEC itoe waraka. Tamko la askofu wa jimbo la Lindi ni tamko/maoni yake binafsi, SIYO waraka wa TEC. Kila askofu alichokisema kwenye salaam za pasaka au mahubiri ya pasaka ya mwaka huu ni mafundisho yake binafsi.

Vyombo vya habari vimekuwa vikichanganya habari ya TEC na mahubiri binafsi ya askofu husika kwa waumini wake.

INGAWAJE askofu wa Lindi mwanzoni mwa mahubiri yake ALIDANGANYA waumini wake aliposema anasema kama Raisi wa TEC. No! NO! NO! ni MWONGO. Katika hili alidanganya! Wanaomkosoa wamkosoe yeye kama askofu wa Lindi, SIYO TEC.

Note well: Maaskofu/mapdre wanatakiwa wawe na mipaka katika kutoa matamko yao. Ya kaizari wamuachie kaizari. Wao wajikite na ya Mungu, TOSHA. Kwasababu Askofu/padre/mchungaji HANA TAARIFA sahihi na zakutosha juu ya SERIKALI. ATADANGANYA TU!

Pia maaskofu/wachungaji hawana moral authority ya kuikosoa serikali wakati wao wenyewe wanafanya mambo ya HOVYO mengi, kama kukwepa kodi,wiza,uwongo,utapeli,udikteta uchwara,dhuruma kwa watoto kingono,utelekezaji wa watoto wao,ubakaji,ushoga,uporaji wa maeneo ya wananchi,ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu nk.

Wajisafishe kwanza wao wenyewe. Otherwise, they should stop that nonsense! Watu siku hizi wanajua kuhoji vitu(critical thinking), ndo maana watu wengi siku hizi hawaendi makanisani.
 
To be honest, mwaka huu TEC haijatoa waraka wa Pasaka 2025. Na siyo lazima TEC itoe waraka. Tamko la askofu wa jimbo la Lindi ni tamko/maoni yake binafsi, SIYO waraka wa TEC. Kila askofu alichokisema kwenye salaam za pasaka au mahubiri ya pasaka ya mwaka huu ni mafundisho yake binafsi.
Vyombo vya habari vimekuwa vikichanganya habari ya TEC na mahubiri binafsi ya askofu husika kwa waumini wake. INGAWAJE askofu wa Lindi mwanzoni mwa mahubiri yake ALIDANGANYA waumini wake aliposema anasema kama Raisi wa TEC. No! NO! NO! ni MWONGO. Katika hili alidanganya! Wanaomkosoa wamkosoe yeye kama askofu wa Lindi, SIYO TEC.
Note well: Maaskofu/mapdre wanatakiwa wawe na mipaka katika kutoa matamko yao. Ya kaizari wamuachie kaizari. Wao wajikite na ya Mungu, TOSHA. Kwasababu Askofu/padre/mchungaji HANA TAARIFA sahihi na zakutosha juu ya SERIKALI. ATADANGANYA TU! Pia maaskofu/wachungaji hawana moral authority ya kuikosoa serikali wakati wao wenyewe wanafanya mambo ya HOVYO mengi, kama kukwepa kodi,wiza,uwongo,utapeli,udikteta,dhuruma kwa watoto kingono,utelekezaji wa watoto wao,ubakaji,ushoga,uporaji wa maeneo ya wananchi,ukiukaji wa mkubwa wa haki za binadamu nk. Wajisafishe kwanza wao wenyewe. Otherwise, they should stop that nonsense! Watu siku hizi wanajua kuhoji vitu, ndo maana watu wengi siku hizi hawaendi makanisani.

..Ndio kaishasema sasa.

..Na ni Askofu, tena Rais wa TEC.

..Hiki mnachofanya ni damage control.
 
Watakuchekaaa watuuuu?
 
.
Vyombo vya habari vimekuwa vikichanganya habari ya TEC na mahubiri binafsi ya askofu husika kwa waumini wake. INGAWAJE askofu wa Lindi mwanzoni mwa mahubiri yake ALIDANGANYA waumini wake aliposema anasema kama Raisi wa TEC.
Mahubiri huwa hayaandikwi kisha kusomwa. Askofu alikuwa anasoma kwenye karatasi.
 
To be honest, mwaka huu TEC haijatoa waraka wa Pasaka 2025. Na siyo lazima TEC itoe waraka. Tamko la askofu wa jimbo la Lindi ni tamko/maoni yake binafsi, SIYO waraka wa TEC. Kila askofu alichokisema kwenye salaam za pasaka au mahubiri ya pasaka ya mwaka huu ni mafundisho yake binafsi.
Vyombo vya habari vimekuwa vikichanganya habari ya TEC na mahubiri binafsi ya askofu husika kwa waumini wake. INGAWAJE askofu wa Lindi mwanzoni mwa mahubiri yake ALIDANGANYA waumini wake aliposema anasema kama Raisi wa TEC. No! NO! NO! ni MWONGO. Katika hili alidanganya! Wanaomkosoa wamkosoe yeye kama askofu wa Lindi, SIYO TEC.
Note well: Maaskofu/mapdre wanatakiwa wawe na mipaka katika kutoa matamko yao. Ya kaizari wamuachie kaizari. Wao wajikite na ya Mungu, TOSHA. Kwasababu Askofu/padre/mchungaji HANA TAARIFA sahihi na zakutosha juu ya SERIKALI. ATADANGANYA TU! Pia maaskofu/wachungaji hawana moral authority ya kuikosoa serikali wakati wao wenyewe wanafanya mambo ya HOVYO mengi, kama kukwepa kodi,wiza,uwongo,utapeli,udikteta,dhuruma kwa watoto kingono,utelekezaji wa watoto wao,ubakaji,ushoga,uporaji wa maeneo ya wananchi,ukiukaji wa mkubwa wa haki za binadamu nk. Wajisafishe kwanza wao wenyewe. Otherwise, they should stop that nonsense! Watu siku hizi wanajua kuhoji vitu, ndo maana watu wengi siku hizi hawaendi makanisani.
Wewe ni Mnafiki?.
 
Mahubiri huwa hayaandikwi kisha kusomwa. Askofu alikuwa anasoma kwenye karatasi.
Hujui. Mahubiri yanawezaandikwa au kutoandikwa. The best practice nikuandwa na kusomwa.
 
Too late

NO REFORMS NO ELECTION.
 
Hujui. Mahubiri yanawezaandikwa au kutoandikwa. The best practice nikuandwa na kusomwa.
"Mama k zipo mbili" unafurahisha sana.Nani alikurithisha kipaji cha kutupatia cheko kama si "chekoslovakia" sisi ndugu zako?
 
To be honest, mwaka huu TEC haijatoa waraka wa Pasaka 2025. Na siyo lazima TEC itoe waraka. Tamko la askofu wa jimbo la Lindi ni tamko/maoni yake binafsi, SIYO waraka wa TEC. Kila askofu alichokisema kwenye salaam za pasaka au mahubiri ya pasaka ya mwaka huu ni mafundisho yake binafsi.
Vyombo vya habari vimekuwa vikichanganya habari ya TEC na mahubiri binafsi ya askofu husika kwa waumini wake. INGAWAJE askofu wa Lindi mwanzoni mwa mahubiri yake ALIDANGANYA waumini wake aliposema anasema kama Raisi wa TEC. No! NO! NO! ni MWONGO. Katika hili alidanganya! Wanaomkosoa wamkosoe yeye kama askofu wa Lindi, SIYO TEC.
Note well: Maaskofu/mapdre wanatakiwa wawe na mipaka katika kutoa matamko yao. Ya kaizari wamuachie kaizari. Wao wajikite na ya Mungu, TOSHA. Kwasababu Askofu/padre/mchungaji HANA TAARIFA sahihi na zakutosha juu ya SERIKALI. ATADANGANYA TU! Pia maaskofu/wachungaji hawana moral authority ya kuikosoa serikali wakati wao wenyewe wanafanya mambo ya HOVYO mengi, kama kukwepa kodi,wiza,uwongo,utapeli,udikteta uchwara,dhuruma kwa watoto kingono,utelekezaji wa watoto wao,ubakaji,ushoga,uporaji wa maeneo ya wananchi,ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu nk. Wajisafishe kwanza wao wenyewe. Otherwise, they should stop that nonsense! Watu siku hizi wanajua kuhoji vitu(critical thinking), ndo maana watu wengi siku hizi hawaendi makanisani.
Umemalizia vizuri sana "Watu siku hizi wanajua kuhoji vitu" Ndiyo tunahoji Sasa mapungufu ya chaguzi zetu, hata huyo Askofu anayo haki ya kuhoji. Mnachotakiwa ni kujibu hoja za huyo Askofu na si kumshambulia kwa maneno uchwara.
 
Huyo askofu uchwara alifanya kosa linalojulikana kama "utra vires", kwa kuitishia serikali eti iwaachie mara moja,bila masharti...Who are you? No body is above the government bwana!
Huyo askofu siyo raia wa TZ! Hana uchungu na AMANI ya nchi yetu.
 
  • Thanks
Reactions: UCD

Kuna vitu huvijui. Ungetulia ili uone muvi inaishia wapi kabla hauzawadiwa jina la chakubimbi.
 
To be honest, mwaka huu TEC haijatoa waraka wa Pasaka 2025. Na siyo lazima TEC itoe waraka. Tamko la askofu wa jimbo la Lindi ni tamko/maoni yake binafsi, SIYO waraka wa TEC. Kila askofu alichokisema kwenye salaam za pasaka au mahubiri ya pasaka ya mwaka huu ni mafundisho yake binafsi.
Vyombo vya habari vimekuwa vikichanganya habari ya TEC na mahubiri binafsi ya askofu husika kwa waumini wake. INGAWAJE askofu wa Lindi mwanzoni mwa mahubiri yake ALIDANGANYA waumini wake aliposema anasema kama Raisi wa TEC. No! NO! NO! ni MWONGO. Katika hili alidanganya! Wanaomkosoa wamkosoe yeye kama askofu wa Lindi, SIYO TEC.
Note well: Maaskofu/mapdre wanatakiwa wawe na mipaka katika kutoa matamko yao. Ya kaizari wamuachie kaizari. Wao wajikite na ya Mungu, TOSHA. Kwasababu Askofu/padre/mchungaji HANA TAARIFA sahihi na zakutosha juu ya SERIKALI. ATADANGANYA TU! Pia maaskofu/wachungaji hawana moral authority ya kuikosoa serikali wakati wao wenyewe wanafanya mambo ya HOVYO mengi, kama kukwepa kodi,wiza,uwongo,utapeli,udikteta uchwara,dhuruma kwa watoto kingono,utelekezaji wa watoto wao,ubakaji,ushoga,uporaji wa maeneo ya wananchi,ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu nk. Wajisafishe kwanza wao wenyewe. Otherwise, they should stop that nonsense! Watu siku hizi wanajua kuhoji vitu(critical thinking), ndo maana watu wengi siku hizi hawaendi makanisani.
Siamini kama Sindano Imechoma Zaidi kwenye Mfupa Basi itabdi ipunguzwe Dawa
 
..Ndio kaishasema sasa.

..Na ni Askofu, tena Rais wa TEC.

..Hiki mnachofanya ni damage control.
Demon-cracy has replaced democracy in Tanzania. To achieve this, capable and intelligent candidates are being silenced by disqualifying them and sending them to prisons so that incompetent candidates/leaders won't be challenged.
 
Huyo askofu uchwara alifanya kosa linalojulikana kama "utra vires", kwa kuitishia serikali eti iwaachie mara moja,bila masharti...Who are you? No body is above the government bwana!
Huyo askofu siyo raia wa TZ! Hana uchungu na AMANI ya nchi yetu.
Narudia tena, JIBUNI HOJA ZAKE! kama zinawashinda pigeni kimya, mnavyomshambulia mnaonekana wepesi sana kichwani.
 
Back
Top Bottom