Hivi kale ka Preta ka kwenye Shades Of Sin si ni ka-Brazil? Kama kuna mtu ana kontakti yake anitumie tafadhali. Kibarua cha kuusaka uraia wa Brazil kwa kufuata kanuni kimekuwa kigumu (nataka nitumie oltenativu way ya ki-mila)
Kila la kheri... lakini ujue bado siku chache hilo li FIFA lenu linaondoka na Mavuvuzela yananyamaza... Unarudi kule kuleeeeeeeeeeee (kwenye kukaguliwa misdi koli)