Why mkuu?
Sio km naogopa ila naongelea fact ndugu yangu watanzania wengi bado sana then jina la Nyerere still lina sound masikioni mwa watanzania wengi,hii ni karata dume kwa magamba...mark my word!!
Sio km naogopa ila naongelea fact ndugu yangu watanzania wengi bado sana then jina la Nyerere still lina sound masikioni mwa watanzania wengi,hii ni karata dume kwa magamba...mark my word!!
Kujeni UKAWA kama mko serious. Wamewamwagia ugali wamwagieni mboga
Mimi nafikir Lowassa Ana nafasi kubwa lakini in the event kuwa wana ccm wanaamua kuachana na siasa za visasi za wanamtandao na kwa namna Lowassa alivyo na nguvu ..Mgombea atakayeweza kukabiliana na hasira za Lowassa ni Makongoro
Lowassa haepukiki lakini huwezi kumkata ukampitisha yeyote Zaidi ya Makongoro na ukategemea ccm ishinde ...Huyu Ana charisma na nyota
http://www.youtube.com/watch?v=zF7mXjg6dHw
Duh!...Tayari wazee wa chama ikiwemo Mangula na wengineo wamepanga tayari mgombea wao.
...Mzee Mkapa, Mzee Mwinyi na Karume wamepanga huyo ndiye awe.
...Tayari wafadhili wanao aminika na chama wameamua huyo ndiye awe.
...Tayari kinachoitwa 'system' wameamua huyo ndiye awe.
...Tayari jamii za kimataifa zimeamua huyo ndiye awe.
...Ila bado tu Watanzania walio wengi kuamua. Ila ieleweke, pamoja na mapenzi makubwa Watanzania waliyonayo kwa Lowassa, CCM imeamua vinginevyo.
...Mgombea Urais Kupitia CCM 2015 ni Makongoro Nyerere. Confirmed...
UKAWA Jipangeni kivingine. Ile furaha yenu ya muda mfupi imekwisha ghafla.
ki ukweli ccm waki mpitisha Makongoro UKAWA tutachapwa mapema sana...jina la Baba yake lita mbeba sana na jinsi watanzania wengi walivyo mazuzu mmhhh tuombe Mungu.
UKAWA hatuogopi jina,hata huku kwetu kuna Vincent Nyerere na Yericko Nyerere,wanaweza Kum-counter attack Makongoro.
ki ukweli ccm waki mpitisha Makongoro UKAWA tutachapwa mapema sana...jina la Baba yake lita mbeba sana na jinsi watanzania wengi walivyo mazuzu mmhhh tuombe Mungu.
Unatuita watanzania mazuzu wakati huohuo unataka tukuchague?!!
Kwani si makongoro huyuhuyu aliyekuwa mnywa gongo pale Arusha
Enzi za RTD zilishapita
Kwa sababu hizi
1.Wapiga kura wa watz wengi ni vijana walizaliwa wakati Mwl Nyerere kaishs ondoka madarakani so they will not carried away easily with "Nyerereism"
2.Makongoro hana records iliyo tukuka
3.Maisha magumu mno kwa watz sababu ya CCM so yyt atakaye simamishwa na CCM itaonekana ni wale wale
4.CCM inaingia uchaguzini ikiwa imegawanyika mno kuliko muda wowote ule
5.CCM inaingia uchaguzini bila uhakika wa kushinda dola sababu upinzani umekua