TeamLowassa hatuna chetu Ikulu!

TeamLowassa hatuna chetu Ikulu!

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,829
Tayari wazee wa chama ikiwemo Mangula na wengineo wamepanga tayari mgombea wao.

Mzee Mkapa, Mzee Mwinyi na Karume wamepanga huyo ndiye awe.

Tayari wafadhili wanao aminika na chama wameamua huyo ndiye awe.

Tayari kinachoitwa 'system' wameamua huyo ndiye awe.

Tayari jamii za kimataifa zimeamua huyo ndiye awe.

Ila bado tu Watanzania walio wengi kuamua. Ila ieleweke, pamoja na mapenzi makubwa Watanzania waliyonayo kwa Lowassa, CCM imeamua vinginevyo.

Mgombea Urais Kupitia CCM 2015 ni Makongoro Nyerere. Confirmed.

UKAWA Jipangeni kivingine. Ile furaha yenu ya muda mfupi imekwisha ghafla.
 
Kwa hiyo unatuambia kuwa lowassa alikuwa anaiwakilisha Ukawa huko ccm?mbona hueleweki?ukawa inapambana na ccm,na si makongoro au lowasa,labda umechanganya ukawa na gamba mwenzio laki si pesa huyo ndiye aliyekuwa akimtukuza huyo fisadi wenu.
 
Last edited by a moderator:
haya sasa,,kihoro kitashika watu,,naona akina mkapa wanataka waandikiwe dhambi ya mauaji kwa sababu watamfanya mamvi apumzike siku si zake
 
Huu ndio ukweli mchungu CCM ni Makongoro Nyerere,Lowassa asipoteze muda,fedha na pengine ni vyema akaitunza afya yake asije akakumbwa na magonjwa ya shinikizo la damu.Lowassa hajawahi wala hatatokezea akawa kipenzi cha watanzania.

Makongoro ni project ya viongozi wa EA hasa Museveni anayetaka kumwachia nchi Brigedia Muhonzi anajua Makongoro akifanikiwa huku Tanzania atakuwa na chakuwaambia waganda watazame Tanzania na Kenya wamefanya nini.UKAWA mjipange sana jina la Nyerere kubwa linaweza kuwaadaa waTanzania wengi.
 
Ngoja tusubiri mwisho utakuwaje
 
Aliyezusha kuwa kina Mkapa wslikuwepo kwenye huo mkutano wa Makongoro ni Lemutuz...

Hawakuwepo zaidi ya wanakijiji wa Mwitongo

Mkuu,

Sio uzushi, na sijasema Mkapa Alikuwepo. Kuwa muelewa.

Haya mambo yalikuwa 'behind the scene' ila sasa yamedhihirishwa na hao wazee kuwa wapo upande upi.

Ushauri wao ni kwamba: Makongoro ataunganisha wana CCM ambao kwa mujibu wa maelezo yao, CCM kwa sasa imejaa nyufa.
 
Mkuu,

Sio uzushi, na sijasema Mkapa Alikuwepo. Kuwa muelewa.

Haya mambo yalikuwa 'behind the scene' ila sasa yamedhihirishwa na hao wazee kuwa wapo upande upi.

Ushauri wao ni kwamba: Makongoro ataunganisha wana CCM ambao kwa mujibu wa maelezo yao, CCM kwa sasa imejaa nyufa.

Captain Makongoro akipitishwa Dr Slaa atashinda kiurahisi!
 
ki ukweli ccm waki mpitisha Makongoro UKAWA tutachapwa mapema sana...jina la Baba yake lita mbeba sana na jinsi watanzania wengi walivyo mazuzu mmhhh tuombe Mungu.

Huyo jamaa hana jipya sana zaidi ya kutojulikana. Ila mimi nadhani watanzania kuna haja ya kufanya maamuzi sahihi. Makongoro aka chapombe hafai kabisa.
 
Back
Top Bottom