Qute cherry
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 294
- 136
Wakijiziba mdomo kwa mkono unawezahisi amepigwa kabali, mkono mweusii..
Afadhal wa nywele kuliko kujichumbua rangiii
Hakuna tofauti na anaekwenda saloon kutengeneza nywele zake
Wote ni wale wale tu!
Huo ndio ukweli bibie!Hahahah...lol
Kama alivyosema Dinazarde hapo kuwa ni afadhali wanaoweka dawa maana hawa wa kujichubua hata maisha yao wanayaweka hatarini aisee
Unajua madhara ya dawa zinazowekwa kwenye nywele ili zitoke kwenye uasili wake?
Madhara yake ni sawa na yale ambayo anayapata anaebadili ngozi yake
nna rahajeeeee team naturaleHakuna tofauti na anaekwenda saloon kutengeneza nywele zake
Wote ni wale wale tu!
nna rahajeeeee team naturale
Naongezea unene tu kwa kula kihepe!
Hapa Wazee Wa Obagi Inahusu Pia?a.k.a Mkorogo expensive...
Weusi mwisho chalinze